Masogange na DJ Avicii walizaliwa siku moja 1989 na wote wamekufa siku moja

Masogange na DJ Avicii walizaliwa siku moja 1989 na wote wamekufa siku moja

Nilikua namalizia kaudio kangu nilitegemea awe vixen kwenye kavideo Ila Mungu mapenz yake yamezd
 
30603472_163145797692456_5843073629184589824_n.jpg
Nyumbani kwa Baba yake Mzazi Agness Gerald 'Masogange' Mbeya Mbalizi kata ya Utengule Usongwe ambapo mazishi yatafanyika tayari Wametenga Msiba. - Baba Mzazi anaitwa Gerald Waya ambapo amesema nyumba amejengewa na Mtoto wake Agness
 
Avisii anaenda kula msambwanda Ile mbaya daudiii Lia kingasi kinaenda kumeguliwa
 
Yaani alikua mtoto hivyo? Na ana mtoto mkubwa vile kwa miaka 29? Alikua na maisha ya hovyo sana!!
Ya Mungu mengi angeendekeza yakina wema leo angekufa bila kuacha alama duniani na nyie wapashkuna mngeongea tu,msijifanye watakatifu saanaaa ilihali nyie pia mmetelekeza familia zenu na kutapeli mali za urithi....Sitaki Swali hapa
 
Back
Top Bottom