herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,143
- 4,724
32-13=19Hebu tupe hesabu basi mtu wa 1986 kumiliki mtoto wa darasa la Saba.
Sasa cha ajabu nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
32-13=19Hebu tupe hesabu basi mtu wa 1986 kumiliki mtoto wa darasa la Saba.
Akipata mtoto (2000) akiwa na 14 yrs leo ana 18.Hebu tupe hesabu basi mtu wa 1986 kumiliki mtoto wa darasa la Saba.
Tatizo ni pale mtoto wa kiume anapojaribu kujilinganisha na mtoto wa kike ndio matokeo yake haya. Mi sioni ajabu kabisa maana ni kawaida mitaani kukuta msichana wa below 20 kaolewa na ana mtoto juu32-13=19
Sasa cha ajabu nn?
Upo sahihi mkuu. Vitoto viko vingi humu.Tatizo ni pale mtoto wa kiume anapojaribu kujilinganisha na mtoto wa kike ndio matokeo yake haya. Mi sioni ajabu kabisa maana ni kawaida mitaani kukuta msichana wa below 20 kaolewa na ana mtoto juu
Wabongo watafanya juu chini ilimradi tuu watoe kasoro, tuna roho mbaya sana ndio maana tunaibiwa hovyo hovyo tuuNa asingekuwa na mtoto ungehoji pia makalio ya sisimizi wee
Kabisa, yani mtoto wa kike akimaliza la saba au form four halaf akawa hana mishe, ujue kuzaa kuko nje nje....wazazi wengi wanaozaa mtoto wa kwanza wana wastani wa miaka 15-20 (wengi sio wote)Tatizo ni pale mtoto wa kiume anapojaribu kujilinganisha na mtoto wa kike ndio matokeo yake haya. Mi sioni ajabu kabisa maana ni kawaida mitaani kukuta msichana wa below 20 kaolewa na ana mtoto juu
[emoji818] [emoji818][emoji818] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Kabisa, yani mtoto wa kike akimaliza la saba au form four halaf akawa hana mishe, ujue kuzaa kuko nje nje....wazazi wengi wanaozaa mtoto wa kwanza wana wastani wa miaka 15-20 (wengi sio wote)
Mbeya baba kitu kinapoga hadi plus moja.Kweli hii nyumba kajenga mwanamke, sioni madirisha kwenye huu upande wa kushoto
Asante mkuu[emoji818] [emoji818][emoji818] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Sijui hyu mwenzetu yeye amekulia masaki au huko oysterbay yaani anaona ajabu na dhambi hilo jambo.
Amenifurahisha mkuu mmoja hapo juu kamwambia mtu kwamba hata hasingekuwa na mtoto bado angetokea mbongo mmoja na kusema check masogange amekufa bila hata mtoto wa kusingizia..
Ubarikiwe sana mkuu
Na faiza fox amekupita au umempita miaka mingapi?nimempita marehemu miaka 40.
kulalek walallah
Acha kuwatukana wanyakyusa huyu msafwaMiaka 29 ana mtoto mwenye age more than 15, alizaa akiwa mdogo sana, ila sishangaa, nyakyusa wanasemaga ni maji mara moja
Bina eeYaani alikua mtoto hivyo? Na ana mtoto mkubwa vile kwa miaka 29? Alikua na maisha ya hovyo sana!!
Mara nyingi watu hufa karibu na siku waliyozaliwa,sijui huwa ni kwaniniMasogange kazaliwa 23 April... alibakiza siku 3 kutimiza miaka 29
Miaka 40?nimempita marehemu miaka 40.
kulalek walallah
Ulionja?Ila tuache utani jamani, MAREHEMU ALIKUWA MTAMU SANA AISEE...!!!