Masogange na DJ Avicii walizaliwa siku moja 1989 na wote wamekufa siku moja

Ya Mungu mengi angeendekeza yakina wema leo angekufa bila kuacha alama duniani na nyie wapashkuna mngeongea tu,msijifanye watakatifu saanaaa ilihali nyie pia mmetelekeza familia zenu na kutapeli mali za urithi....Sitaki Swali hapa
Mkuu kuna raia humu ndani zinajikuta takatifu sana asee.
 
Daah huyu Aviciii nilikuwa simjui kabisa ila baada ya kuona watu wanamuongelea sana ikabidi niingie u tube....aisee jamaa alikuwa moto sana ....RIP bro
 
Ya Mungu mengi angeendekeza yakina wema leo angekufa bila kuacha alama duniani na nyie wapashkuna mngeongea tu,msijifanye watakatifu saanaaa ilihali nyie pia mmetelekeza familia zenu na kutapeli mali za urithi....Sitaki Swali hapa

"Kisini stand up"
 
Back
Top Bottom