Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Sio kweli Agness hajazaliwa mwezi wa 4, kaangalie hata Insta siku aliyosherehekea birthday yake ni mwezi wa 9.Masogange kazaliwa 23 April... alibakiza siku 3 kutimiza miaka 29
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli Agness hajazaliwa mwezi wa 4, kaangalie hata Insta siku aliyosherehekea birthday yake ni mwezi wa 9.Masogange kazaliwa 23 April... alibakiza siku 3 kutimiza miaka 29
Mmmh ana mtot ? Afu awe na miaka 15?Miaka 29 ana mtoto mwenye age more than 15, alizaa akiwa mdogo sana, ila sishangaa, nyakyusa wanasemaga ni maji mara moja
Ndiyo hapo na mimi nimeshangaa!...Masogange kazaliwa 23 April... alibakiza siku 3 kutimiza miaka 29
Ni sawa kwa huo umriHata hyo 1986 kuwa na mtoto wa std 7 inashangaza
Ila ni kweli tukiacha maisha ya kusifiasifia, kwa upande mwengine ni kama vile alikua mdangaji mno, nilimsikiliza baba yake pale alisema alikatisha masomo kwa ujauzito, akiwa kidato cha pili, na akakkimbia kwao.Yaani alikua mtoto hivyo? Na ana mtoto mkubwa vile kwa miaka 29? Alikua na maisha ya hovyo sana!!
nimecheka mkuuAsante mkuu
Hata wa huko Masaki ni kwamba huwa wanazichomoa
Uwe na Jumapili njema Mkuu
true nenda fb page ya madonna huyo mjomba amefariki ijumaa mda nao sawa ukilinganisha na masogangeWabongo kwa kutunga hatujambo, hii itasamba huko whatsApp mpaka basi
hapana mkuu kesho kutwa tu naingia 29 miaka mingi sana hiiKumbe we bado kinda
nime survive,bado nipoDuh.! Kumbe na wewe unakufa kesho R.I.P mkuu.
Kwani wewe kinakuuma nini au mwenzetu tasa ndio maana unashangaa.... maana mtoto wa kike kuvunja ungo mapema kama alizaa na miaka 8 au 10 si yeye? kipi cha ajabu, ndio mapya kwako kuyasikia?? nenda wodi ya wazazi basi ukashangae zaidi....Hebu tupe hesabu basi mtu wa 1986 kumiliki mtoto wa darasa la Saba.
29-15= 14. Unashangaza sana kibaoni.Mmmh ana mtot ? Afu awe na miaka 15?
Sio Wa kwanza huyu kupata mimba form two. Mzee ajilaumu kwa malezi mabovu.Ila ni kweli tukiacha maisha ya kusifiasifia, kwa upande mwengine ni kama vile alikua mdangaji mno, nilimsikiliza baba yake pale alisema alikatisha masomo kwa ujauzito, akiwa kidato cha pili, na akakkimbia kwao.
Ulizotoa kabla zilikuwa ngapi? Mwenzio labda hakwenda vyuo kama wewe.
Umemjengea baba yako nyumba?
Ulizotoa kabla zilikuwa ngapi? Mwenzio labda hakwenda vyuo kama wewe.
Umemjengea baba yako nyumba?
Kwel kabisa mkuuIla yote tisa, Marehemu alikuwa na msambwanda wa maana nchi nzima. Na alijua kuutafutia hela. Pengo lake katika msambwanda litachukua muda kuzibika
Mmm tutasherehekea pamoja ila mwaka tofautidah huyu masogange kanizidi siku moja tu mie, 24 april 1989
Ni kawaida sana kwa wanawake kudanganya umri, ukweli utajulikana baadaeAnadanganya umri I know her kipindi anakuja mjini alikua amezaliwa 1986 kwa kipindi hichoo sasa hii1989 Hii! [emoji15]
Duuuuuhhh, umeiangalia weeeeee, ukaamua uikosoe. Asingejenga Dar na kwao ungesemaje?Kweli hii nyumba kajenga mwanamke, sioni madirisha kwenye huu upande wa kushoto
Sijaikosoa, wanawake Wana sifa zao kwenye maswala ya ufundi.Duuuuuhhh, umeiangalia weeeeee, ukaamua uikosoe. Asingejenga Dar na kwao ungesemaje?