Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ms ww si mzee mwandiko unaonyeshausidanganywe na avatar.
Anadanganya umri I know her kipindi anakuja mjini alikua amezaliwa 1986 kwa kipindi hichoo sasa hii1989 Hii! [emoji15]Yaani alikua mtoto hivyo? Na ana mtoto mkubwa vile kwa miaka 29? Alikua na maisha ya hovyo sana!!
Hata hyo 1986 kuwa na mtoto wa std 7 inashangazaAnadanganya umri I know her kipindi anakuja mjini alikua amezaliwa 1986 kwa kipindi hichoo sasa hii1989 Hii! [emoji15]
HahhaaDuh.! Kumbe na wewe unakufa kesho R.I.P mkuu.
Kumbe we bibimpo na bibi zenu humu.
Muwe mnatuheshimu.
Nimekuzidi miaka 45 dogo.
marhaba mjukuu.Kumbe we bibi
Ya Mungu mengi angeendekeza yakina wema leo angekufa bila kuacha alama duniani na nyie wapashkuna mngeongea tu,msijifanye watakatifu saanaaa ilihali nyie pia mmetelekeza familia zenu na kutapeli mali za urithi....Sitaki Swali hapaYaani alikua mtoto hivyo? Na ana mtoto mkubwa vile kwa miaka 29? Alikua na maisha ya hovyo sana!!
Kuna mmoja atawahi kufikaNice match, watakua njiani pamoja kuelekea mbele ya jaji
Ule wa muhogo? Manake nasikia huwa unajibadilisha kulingana na mazingiraNa wote walikuwa nyoka Wala unga
nashangaa Mwanangu Nimezaa Na 28,wapili 30,watatu 32,nikimaliza Inabaki Kulea TuYaani alikua mtoto hivyo? Na ana mtoto mkubwa vile kwa miaka 29? Alikua na maisha ya hovyo sana!!
[emoji38] [emoji38]Uwe unasalimia kaka zako na wazee wako humu mkuu
Kwa mwanamke haishangazi sanaHata hyo 1986 kuwa na mtoto wa std 7 inashangaza
Asante sana kwa taarifaMasogange kazaliwa 23 April... alibakiza siku 3 kutimiza miaka 29