Masogange kazaliwa 23 April... alibakiza siku 3 kutimiza miaka 29
dah huyu masogange kanizidi siku moja tu mie, 24 april 1989Masogange kazaliwa 23 April... alibakiza siku 3 kutimiza miaka 29
Uwe unasalimia kaka zako na wazee wako humu mkuudah huyu masogange kanizidi siku moja tu mie, 24 april 1989
nimempita marehemu miaka 40.Masogange kazaliwa 23 April... alibakiza siku 3 kutimiza miaka 29
Yaani alikua mtoto hivyo? Na ana mtoto mkubwa vile kwa miaka 29? Alikua na maisha ya hovyo sana!!Masogange kazaliwa 23 April... alibakiza siku 3 kutimiza miaka 29
Duh.! Kumbe na wewe unakufa kesho R.I.P mkuu.dah huyu masogange kanizidi siku moja tu mie, 24 april 1989
kumbe ameacha mtoto mkubwaYaani alikua mtoto hivyo? Na ana mtoto mkubwa vile kwa miaka 29? Alikua na maisha ya hovyo sana!!
Pumbafu! Miaka yote hio ππnimempita marehemu miaka 40.
kulalek walallah
mpo na bibi zenu humu.Pumbafu! Miaka yote hio ππ
Mmhh acha Zako bana ww si ka kishtobe fulanmpo na bibi zenu humu.
Muwe mnatuheshimu.
Nimekuzidi miaka 45 dogo.
usidanganywe na avatar.Mmhh acha Zako bana ww si ka kishtobe fulan
Duh!Pumbafu! Miaka yote hio ππ