Masogange: Nataka kuwa mchungaji

Balikiwa sana mkuu
 
Yule mwenzie mkenya penye ukurasa wake wa instergram kaandika "bitches will become believers "wacha tuone.
 
Asomaye na afahamu! Rahabu alitimiza ile kazi akiwa ktk hali ya ukahaba!

Makahaba wote katika Biblia waliotumika na Mungu waliacha kazi hiyo hawakuendelea nayo. Paulo alikuwa muuaji lakini aliacha. Zakayo alikuwa mtoza ushuru aliacha. Wote walioitwa na mMungu waliishi maisha ya dhambi lakini hwakuendelea na maisha hayo. Hawakuchanganya.
 
Please let her be.

Ameshajua hatima yake ni ipi.

Let us worry about us.

Tuna mengi ya kujirekebisha na kutubu na hatujui saa wala wala dakika ya kumfata.
 
Please let her be.

Ameshajua hatima yake ni ipi.

Let us worry about us.

Tuna mengi ya kujirekebisha na kutubu na hatujui saa wala wala dakika ya kumfata.
This is not the first time I realize how genius you are.
Just the way you write, differentiates you from most of us........
Thumb up lady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…