Masogange: Nataka kuwa mchungaji

Masogange: Nataka kuwa mchungaji

Asante nimekuelewa ila maana ya yangu ya kuokolewa ni "kuokolewa kutoka kifo vitani Yeriko ilipokuwa ikiteketea." Sikufika Kwenye ule wokovu tunaouelewa. Hata hivyo Rahabu ili aendelee kukaa Katika Mpango wa Mungu alitenganishwa na tabia yake. Asingeendelea na kazi yake ile na bado kupata haki mbele za Mungu. Abrahamu naye alitolewa kutoka miungu ya ngambo ya mto miungu ya kwao na kufanywa "Rafiki ya Mungu".
Huyo mnayemtaja anaweza kumtumikia Mungu hata Kama si Mchungaji lakini sharti maisha yake ya awali ikiwa hayakuwa yakimpendeza Mungu atayaacha.
Balikiwa sana mkuu
 
Asomaye na afahamu! Rahabu alitimiza ile kazi akiwa ktk hali ya ukahaba!

Makahaba wote katika Biblia waliotumika na Mungu waliacha kazi hiyo hawakuendelea nayo. Paulo alikuwa muuaji lakini aliacha. Zakayo alikuwa mtoza ushuru aliacha. Wote walioitwa na mMungu waliishi maisha ya dhambi lakini hwakuendelea na maisha hayo. Hawakuchanganya.
 
Please let her be.

Ameshajua hatima yake ni ipi.

Let us worry about us.

Tuna mengi ya kujirekebisha na kutubu na hatujui saa wala wala dakika ya kumfata.
 
Please let her be.

Ameshajua hatima yake ni ipi.

Let us worry about us.

Tuna mengi ya kujirekebisha na kutubu na hatujui saa wala wala dakika ya kumfata.
This is not the first time I realize how genius you are.
Just the way you write, differentiates you from most of us........
Thumb up lady
 
Back
Top Bottom