Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Nakutakia kila lakheri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
always a soldierAu ili biashara ilioharibiwa ifanyike bila kelele? Once a soldier...
Balikiwa sana mkuuAsante nimekuelewa ila maana ya yangu ya kuokolewa ni "kuokolewa kutoka kifo vitani Yeriko ilipokuwa ikiteketea." Sikufika Kwenye ule wokovu tunaouelewa. Hata hivyo Rahabu ili aendelee kukaa Katika Mpango wa Mungu alitenganishwa na tabia yake. Asingeendelea na kazi yake ile na bado kupata haki mbele za Mungu. Abrahamu naye alitolewa kutoka miungu ya ngambo ya mto miungu ya kwao na kufanywa "Rafiki ya Mungu".
Huyo mnayemtaja anaweza kumtumikia Mungu hata Kama si Mchungaji lakini sharti maisha yake ya awali ikiwa hayakuwa yakimpendeza Mungu atayaacha.
Asomaye na afahamu! Rahabu alitimiza ile kazi akiwa ktk hali ya ukahaba!
Upo vzur kupredictPlease let her be.
Ameshajua hatima yake ni ipi.
Let us worry about us.
Tuna mengi ya kujirekebisha na kutubu na hatujui saa wala wala dakika ya kumfata.
This is not the first time I realize how genius you are.Please let her be.
Ameshajua hatima yake ni ipi.
Let us worry about us.
Tuna mengi ya kujirekebisha na kutubu na hatujui saa wala wala dakika ya kumfata.