Masoko ya hisa nchini Marekani yameporomoka na kupata hasira ya $6 trion ndani ya siku mbili tu.

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
7,637
Reaction score
20,676
Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru mkubwa kwa bidhaa za Marekani.
Hizo $6 trion ilizopoteza ndani ya siku mbili ni zaidi ya GDP ya Japan.
Hayo yote yanatokea baada ya utawala wa Trump kutangaza ushuru kwa mataifa yote ulimwenguni.
Pia na masoko ya hisa ya Asia na Ulaya hayajanusulika juu ya kimbunga hichi licha ya kuwa hayaja athirika sana kama ya Marekani lakini nayo yameshuka baada ya china kutangaza ushuru dhidi ya bidhaa za Marekani.

Huyu Trump huyu anata kuuingiza uchumi wa dunia kwenye hali ngumu sana.
 
Attachments

  • FB_IMG_1743838512933.jpg
    FB_IMG_1743838512933.jpg
    43.8 KB · Views: 37
Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru mkubwa kwa bidhaa za Marekani.
Hizo $6 trion ilizopoteza ndani ya siku mbili ni zaidi ya GDP ya Japan.
Hayo yote yanatokea baada ya utawala wa Trump kutangaza ushuru kwa mataifa yote ulimwenguni.
Pia na masoko ya hisa ya Asia na Ulaya hayajanusulika juu ya kimbunga hichi licha ya kuwa hayaja athirika sana kama ya Marekani lakini nayo yameshuka baada ya china kutangaza ushuru dhidi ya bidhaa za Marekani.

Huyu Trump huyu anata kuuingiza uchumi wa dunia kwenye hali ngumu sana.
Donald Trump shikilia hapo hapo😀

Make America Great Again😀
 
Donald Trump shikilia hapo hapo😀

Make America Great Again😀
Trump nilianza namsapot hasa baada ya kuyakatia mafisadi misaada ya kununulia mav8 lakini kadili siku zinavyo kwenda inaonesha kuwa Trump ana kaukichaa fulani.
 
Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru mkubwa kwa bidhaa za Marekani.
Hizo $6 trion ilizopoteza ndani ya siku mbili ni zaidi ya GDP ya Japan.
Hayo yote yanatokea baada ya utawala wa Trump kutangaza ushuru kwa mataifa yote ulimwenguni.
Pia na masoko ya hisa ya Asia na Ulaya hayajanusulika juu ya kimbunga hichi licha ya kuwa hayaja athirika sana kama ya Marekani lakini nayo yameshuka baada ya china kutangaza ushuru dhidi ya bidhaa za Marekani.

Huyu Trump huyu anata kuuingiza uchumi wa dunia kwenye hali ngumu sana.
hasira au hasara., andika vizuri tittle yako tuchangie mada
 
Vipi USA itapata faida kiasi gani itokanayo na ushuru uliowekwa wa bidhaa hizo?.

Kumbuka kushuka na kupanda kwa masoko ya mitaji ni suala la kawaida sana.
 
Hii hasara ya sasa sio ya kawaida.
 
Back
Top Bottom