Masoko yaanza kuchomwa tena? Angalia Soko la Mbuyuni Moshi likiteketea

Usishangae kuna watu waliinjika maharage wakapitiwa usingizi wakati wakifanya yao
 
Usishangae kuna watu waliinjika maharage wakapitiwa usingizi wakati wakifanya yao
 
Wafanyabiashara waelimishwe umuhimu wa bima ya biashara.
 
Kazi ya uvccm hiyo ,hawa ni vijana wa ovyo kuwahi kutokea
 
Uwekezaji Uchwara tu huo.
Ni ukosefu wa utu na ulimbukeni.

Waasisi wa soko hilo wanahujumiwa, wanatiwa umasikini wakutengenezwa halafu bado utawasikia watu watakaodiriki kusema walikuwa hawana mchango wowote kwasababu palikuwa hakuna soko la Kisasa.

Yaani wao waasisi (wauzaji)na wachuuzi ndio watageuzwa kuwa 'Watumiaji' Consumers.

Baadae, watalazimika kuuza mashamba yao madogo, watalazimika kutafuta mikopo, halafu wao ndio wawe watumiaji.

Hata chini ya CHADEMA watafanya hayo hayo.

Kumbukeni maneno ya Lemma akihutubia huko.
 
Toka nimezaliwa Sijawahi kusikia na Kuona Masoko dizaini hizo, zikiungua kiasi hicho.

Haya yameanza hivi karibuni kwa speed ya kile wanachokiita mafisadi "Diplomasia ya Kiuchumi. Kitu bogus kabisa.

Mnafungulia Umasikini pale mnapopuuza Wazawa na Watanzania wenzenu.

Shenzi type zenu(Mnajijua)
 
Kwann wasitumie utaratib wa kawaida tu kuyajenga mpaka wawatie watu hasara??
Utaratibu wa kawaida ndiyo huo mkuu,lini umeona serikali ikiwaomba wafanyabiashara wa sokoni waondoke kupisha ujenzi? Mara ya mwisho kuona hilo ni miaka ya 2000 mwanzoni,wafanyabiashara wa soko la kilombero Arusha walipoombwa waondoke ili soko lao ligeuzwe stand ya ma bus kwa muda,wakati huo stand ya ma bus ilishaungua/unguzwa hivyo hakukuwa na stand,wafanyabiashara wa kilombero walikubali shingo upande kwa ahadi kuwa stand ikikamilika soko litajengwa upya kwa ubora zaidi na watapewa vizimba wao kwanza, ila! Stand ilipokamilika na eneo la soko likauzwa kwa mwekezaji,,hadi Lema alipohamasisha boycotting ndiyo likarudi,nothing new.
 
Huu uzi ulitokomezwa , halafu umerejeshwa tena ! kwamba wakubwa walijua tunazusha ?
 
CCM mnaiba kura lakini mnashindwa kuiba spea mtengeneze gari la zimamoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…