Yatakuwa mengi mno yataumiza mtoto kichwa hayo yasukumiwe kidato Cha tano mtu akiyataka akasome kidato Cha tano akaanzie huko huko na kuyamalizia huko yawe choice hukoYasiondolewe ila yaongezwe,mwanafunzi achague mwenywe nini anataka kusoma,,,, lakinu hofu yangu kichwa kimoja mambo mengi kitamudu kweli
Ha ha kama watu hawapendi kusoma hizo short stories za akina Okonkwo leo asome ya akina Rich Dad. Itabidi wafungwe kamba.Na kwenye literature watoe vitabu vya kina Onkokwo badala yake waweke Think big grow rich au rich Dad and poor Dad etc.
Somo la History na Civics ndo naona la kuunganishwa linakuwa 'History and Civic Education'Elimu inatakiwa isaidie mtoto kupambana na mazingira kwa kutumia raslimali zilizopo
Misomo ya O level Kama kiswahili, Civics na historia yanapotezaa tu muda watoto
Yawekwe masomo ya kilimo na ufugaji kuanzia wa wanyama, ndege, samaki na some la ufundi wa kutengeneza vitu kutokana na rasmali zetu kama kutengeneza viatu vya ngozi, ushonaji pamba tunayo, useremala miti tunayo, ugundi wa kupika vyakula mbalimbali kama chapati mazao tunayo nk utengenezaj viito madini tunayo nk ili mtoto akimaliza form four awe tayari kukabiliana maisha.
uko sahihi mkuu,leo hii kupalilia kashamba ka mwalimu inaonekana ni dhambi kubwa. tunaharibu kizazi. sisi tulikuwa tunalima mpaka mashamba pamba ya kijiji. tukimaliza tunaanza ya walimuShule za zamani zilikua na shamba la shule, banda la kuku, ng'ombe na viwanja vya michezo, kuanzia utawala wa awamu ya pili hivi vitu vilianzakufutika kimoja baada ya kingine.
Somo la civics ni zuri ila nashangaa mpaka leo kwanini somo hili lisiitwe URAIA na lifundishwe ka lugha ya kiswahili shule za msingi na secondary.
Hii si iligeuzwa kuwa miradi ya walimu, wanafunzi wanahrnyeshwa hadi wanakosa muda wa kusoma halafu vitu vyenyewe wanakula walimuShule za zamani zilikua na shamba la shule, banda la kuku, ng'ombe na viwanja vya michezo, kuanzia utawala wa awamu ya pili hivi vitu vilianzakufutika kimoja baada ya kingine.
Somo la civics ni zuri ila nashangaa mpaka leo kwanini somo hili lisiitwe URAIA na lifundishwe ka lugha ya kiswahili shule za msingi na secondary.
Elimu inatakiwa isaidie mtoto kupambana na mazingira kwa kutumia raslimali zilizopo
Misomo ya O level Kama kiswahili, Civics na historia yanapotezaa tu muda watoto
Yawekwe masomo ya kilimo na ufugaji kuanzia wa wanyama, ndege, samaki na some la ufundi wa kutengeneza vitu kutokana na rasmali zetu kama kutengeneza viatu vya ngozi, ushonaji pamba tunayo, useremala miti tunayo, ugundi wa kupika vyakula mbalimbali kama chapati mazao tunayo nk utengenezaj viito madini tunayo nk ili mtoto akimaliza form four awe tayari kukabiliana maisha.
Kwani ishu tunayokabiliana nayo ni watu kulima au watu kulima kitaalamu na kuongezea tija?uko sahihi mkuu,leo hii kupalilia kashamba ka mwalimu inaonekana ni dhambi kubwa. tunaharibu kizazi. sisi tulikuwa tunalima mpaka mashamba pamba ya kijiji. tukimaliza tunaanza ya walimu