mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Nimekuuliza vingine unajibu vingine!Tatizo kubwa kwa yote uliyosema nu watoto vichwa kupata Moto kwa kujazwa misomo isiyoamsha vichwa vyao kujiajiri na kufanya mambo kitaalamu unawajaza vichwa mi kiswahili,mi historia na mi Civics unapobteza nguvu za akili kwa kuwajaza mavitu ambayo sio basic need ya kuwasaidia wajitegemee.Wabafika huko juu vichwa vimechoka kwa kujaza mitakataka mingi isiyohotajika kwenye maisha yao ya kujitengemea
Wazo zuri kuhusu facilities hasa za ufundi ningeshauri kufanywe intergration na vyuo vya VETA kwa kuanzia.Sylabus ya VETA iwe intergrated kwenye secondary na karakana zao zitumiwe na wanafunzi was secondary kuhusu walimu tunaweza import kwa kuanzia kwenye nchi za wenzetu wa dunia ya Tatu Bei zao nafuu wakati tukiandaa wetu ndani ya miaka mitano twaweza kuwa na wa kwetu wa kutosha wa kilimo ,ufundi na ufugajiSuala la kuchagua ndio la msingi. Mtu unasoma masomo kumi! Mi ningeshauri secondary watu wasome masomo yasiyozidi sita, yaani Kiswahili, English na Mathematics yanakuwa ni compulsory then mtu baada ya hapo anaweza chagua masomo mengine matatu ya kus-pecialize atakayoenda nayo hadi form six au chuo. Hii ianzie form one. Biashara, Kilimo, Sayansi ( Ningependa iwepo na Ufundi lkn na hakika facilities za kufundishia na uchache wa walimu itakuwa changamoto kubwa sana)
Kwa hiyo wakisoma kiswahili,Civics,na history hayo matatizo ndio yataondoka?Unajua implications za hayo masomo kuondolewa?
Kwani sasa hivi watu hawalimi?
Wanaolima na kuvuna wanapata masoko ya uhakika?
Kwenye soko la dunia, mazao/ malighafi kutoka Tanzania yanao ubora wa kushindana?
Hao wahitimu wa vyuo vya ufundi hawatengezi bidhaa kwa sasa? Na kama wanatengeneza bidhaa zao zinavutia soko?
Kwa nini kuna mlundikano wa bidhaa za kichina na mataifa mengine ya nje?
Hadi hapo tatizo ni kiswahili, Historia, & co?
Hadi hapo akili yako imeanza kufunguka?
Ivi history inaumuhimu gani apo mtaa unao ishi au hapo nyumbani kwako?namanisha hii ya darasani inayofundishwa mashuleniUko sahihi lkn Masomo hayo hayawezi kuondolewa ni muhimu sana tena sana. Labda ufikiri upya. Kilimo kitiliwe mkazo na wanafunz wafundishwe kitaalam na sio ilimradi tu.
Wewe ni shortsighted tu.Tatizo kubwa kwa yote uliyosema nu watoto vichwa kupata Moto kwa kujazwa misomo isiyoamsha vichwa vyao kujiajiri na kufanya mambo kitaalamu unawajaza vichwa mi kiswahili,mi historia na mi Civics unapobteza nguvu za akili kwa kuwajaza mavitu ambayo sio basic need ya kuwasaidia wajitegemee.Wabafika huko juu vichwa vimechoka kwa kujaza mitakataka mingi isiyohotajika kwenye maisha yao ya kujitengemea
Ndio ujue kuwa hukitendei haki kichwa chako! Sijasema kwamba wakisoma hayo masomo ya Kiswahili, Civics na History ndio tatizo linaondoka! Tatizo lako wewe umeshindwa kugundua shida iko wapi?Kwa hiyo wakisoma kiswahili,Civics,na history hayo matatizo ndio yataondoka?
Umechanganya mambo mengi waliosoma kilimo,ufundi na ufugaji hawahangaiki Mitaani walio wengiNdio ujue kuwa hukitendei haki kichwa chako! Sijasema kwamba wakisoma hayo masomo ya Kiswahili, Civics na History ndio tatizo linaondoka! Tatizo lako wewe umeshindwa kugundua shida iko wapi?
Shida ya elimu ya Tanzania ipo kwenye muundo ( structure), vitendea kazi ( facilities) na mfumo ( education system).
Kwa hiyo wewe ulishindwa kugundua tatizo na badala yake ulihamisha tatizo.
Na ili ujue kuwa hukujifikirisha vya kutosha wapo wahitimu kibao waliosomea taaluma za sayansi, biashara na ufundi wapo mitaani wameshindwa kujiajiri. Je, hao nao masomo waliosoma yafutwe?
Kwa hiyo wazo lako halikuwa na hekima na pia hujui adui wa tatizo la ukosefu wa ajira na kujitegemea ni nani.
Na kwenye literature watoe vitabu vya kina Onkokwo badala yake waweke Think big grow rich au rich Dad and poor Dad etc.
Kwenye ufundi, walipouwa zile shule tano za ufundi kwa kuziongezea makorokocho mengine nikajua ufundi ndo basi tena... IFUNDA TECH, TANGA TECH, MOSHI TECH, MAZENGO NA MTWARA TECH...Elimu inatakiwa isaidie mtoto kupambana na mazingira kwa kutumia raslimali zilizopo
Masomo ya O level kama Kiswahili, Civics na Historia yanapoteza tu muda watoto.
Yawekwe masomo ya kilimo na ufugaji kuanzia wa wanyama, ndege, samaki na some la ufundi wa kutengeneza vitu kutokana na raslimali zetu kama kutengeneza viatu vya ngozi, ushonaji pamba tunayo, useremala miti tunayo, ugundi wa kupika vyakula mbalimbali kama chapati mazao tunayo nk utengenezaji vito vya madini,madini tunayo nk ili mtoto akimaliza Form Four awe tayari kukabiliana maisha.
Kwa hiyo unao uhakika kabisa wakiyaondoa hayo basi tatizo la unemployment & underemployment litaisha?Umechanganya mambo mengi waliosoma kilimo,ufundi na ufugaji hawahangaiki Mitaani walio wengi
Wanajishughulisha na kilimo,ufugaji na ufundi
Mada yangu imejikita kwenye haya masomo matatu usirundike ambayo sijayaongekea
Haya matatu Nina. Uhakika wa watu kujiajiri
Wako kibao wanachapa kazi hao wasoma kiswahili, history na Civics Ni mzigo kwa taifa
Mi namuongelea Okonkwo wa Things Fall Apart by Chinua AchebeHivi onkokwo si ndo mwenye ile nyimbo ilofungiwa kenya inaitwa Utawezana?
... we are slowly moving from agrarian to industrial society. It is projected that come 2100 Dar-es-Salaam alone will be home to more than 70 milion and more than 60% of Tanzania population will be living in cities. Halafu mnataka Agriculture liwe some la lazima! Mmefikiria sawa sawa kweli? Badala yake Entrepreneurship ndio inapaswa somo la lazima. YEHODAYASomo la History na Civics ndo naona la kuunganishwa linakuwa 'History and Civic Education'
Agriculture iwe lazima kama Bios
Unaonekana msomaji mzuri sana ,wazo lako naliunga mkonoNa kwenye literature watoe vitabu vya kina Onkokwo badala yake waweke Think big grow rich au rich Dad and poor Dad etc.
Looking at the indicators of development and if we take the models of development, our agriculture sector isn't yet mature to feed heavy industries /factories. Most of the farm products aren't full utilized, a lot is wasted in the farm to the consumers as we have little storage capacity and our people lacks these agricultural skills.... we are slowly moving from agrarian to industrial society. It is projected that come 2100 Dar-es-Salaam alone will be home to more than 70 milion and more than 60% of Tanzania population will be living in cities. Halafu mnataka Agriculture liwe some la lazima! Mmefikiria sawa sawa kweli? Badala yake Entrepreneurship ndio inapaswa somo la lazima. YEHODAYA
Nimeongelea vitu vitatu kilimo,ufundi na ufugaji population ikiwa kubwa mafundi.ujenzi, pikipiki ,magari,mafundi kupika watakuwa wengi kuanzia chips kuku etc ufugaji Kuku utapaaa consumption ya vyakula itakuwa juu no hizo kazi tatu zotatoa ajira... we are slowly moving from agrarian to industrial society. It is projected that come 2100 Dar-es-Salaam alone will be home to more than 70 milion and more than 60% of Tanzania population will be living in cities. Halafu mnataka Agriculture liwe some la lazima! Mmefikiria sawa sawa kweli? Badala yake Entrepreneurship ndio inapaswa somo la lazima. YEHODAYA