Na kwenye literature watoe vitabu vya kina Onkokwo badala yake waweke Think big grow rich au rich Dad and poor Dad etc.
Kuna tatizo kubwa Kama uti wa mgongo kilimo Cha kisasa kilitakiwa kuanza kufundishwa kuanzia chekechea mtoto anaanza kufundishwa kulima nyanya kisasa nk kuanzia kuandaa mbegu , kutengeneza kitalu na kumtaka mtoto apande haya nyanya moja nyumbani kwenye chungu Cha maua aitunze Hadi izaekilimo ni uti wa mgongo hapa nchini
lakini cha ajabu halijapewa kipaumbele popote katk elimu ya awali hadi sec hahahaaaa
Kwani hufahamu kuna somo linaitwa Stadi za kazi?Elimu inatakiwa isaidie mtoto kupambana na mazingira kwa kutumia raslimali zilizopo
Masomo ya O level kama Kiswahili, Civics na Historia yanapoteza tu muda watoto.
Yawekwe masomo ya kilimo na ufugaji kuanzia wa wanyama, ndege, samaki na some la ufundi wa kutengeneza vitu kutokana na raslimali zetu kama kutengeneza viatu vya ngozi, ushonaji pamba tunayo, useremala miti tunayo, ugundi wa kupika vyakula mbalimbali kama chapati mazao tunayo nk utengenezaji vito vya madini,madini tunayo nk ili mtoto akimaliza Form Four awe tayari kukabiliana maisha.
Huoni prof kabudi anavotamba kwenye jukwaa,serikali Ni mfumo ambao unatakiwa kuwa na kila kitu ndo maana unakuta nchi Ina Hadi vichaa hao wote Ni government,Rudi nyuma pata ushauriElimu inatakiwa isaidie mtoto kupambana na mazingira kwa kutumia raslimali zilizopo
Masomo ya O level kama Kiswahili, Civics na Historia yanapoteza tu muda watoto.
Yawekwe masomo ya kilimo na ufugaji kuanzia wa wanyama, ndege, samaki na some la ufundi wa kutengeneza vitu kutokana na raslimali zetu kama kutengeneza viatu vya ngozi, ushonaji pamba tunayo, useremala miti tunayo, ugundi wa kupika vyakula mbalimbali kama chapati mazao tunayo nk utengenezaji vito vya madini,madini tunayo nk ili mtoto akimaliza Form Four awe tayari kukabiliana maisha.
Tutazalisha Kizazi Cha motivational speakerHa ha kama watu hawapendi kusoma hizo short stories za akina Okonkwo leo asome ya akina Rich Dad. Itabidi wafungwe kamba.
Hakuna Cha subsiary wewe, haiwezekani upate 36 Mimi nipate 74 halafu wote tuwekewe "S" huo ni unyonyaji.Yasiondolewe ila yawe na Pass ya Subsidiary km ilivyokuwa kwa BAM na GS.