Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Katuni husika umeiona ebu unganisha na mchango uone kama vinaendana..
 

Haya ndio maoni ya mazezeta wa ccm
 
Lazaro Mambosasa.....huyu jamaa anapenda sifa sana.. Nahisi anajiandaa kua IGP maana sote tunajua Siro akiteleza tu Mkuu anamtema.. Sasa who is the next IGP, ni Mambosasa.

Tukamateni wote mridhike
Huenda ni mtu hatari Sana huyu
 
Safi sana police wanyooshe wanaojitia shingo ngumu...
 
Watampa promo ya maana sana kama watamkamata.
Na kama ni kweli basi kuna haja bwana mkubwa kuangalia utendaji kazi wa baddhi ya wasaidizi wake maana izi kamata kamata sasa mpaka mchora Katuni?
Hivi unadhani watu wanakamatwa tu bila maagizo yake , anaagiza mwenyewe .
 
Wandishi wa habari wa Tanzania wana cha kujifunza walivamiwa na kutishiwa kuuliwa na bwana bashite wakaweka msimamo wa kutoandika habar zake sijui kimetokea nini leo jamaa anapewa airtime ya kutosha kabisa. Yani mtu atake kukuua kisha mpatanishwe kwenye mkutano wa hadhara nawe ukubali?
Wameacha kuwa weledi wao wanatengenezewa habari na bwana msigwa yule wa ikulu tena kwa vihabari visivyo ha na muendelezo? At wakiambiwa kuna makinikia wote wanaandika weeee lakini kile tu cha ikulu bila hata kwenda kuhoji upande mwingine? Mwandishi anaambiwa yameolotwa magar bandarini naye anaishia hapo tu? Mwandishi anaambiwa eng muhando ametumbulwa naye anaishia hapo tu wakati anaendelea kulipwa mishahara na sasa karudishwa kazini!? Hao clouds ndo hovyo kabisa hii ya kipanya kama ya kweli itawafundisha kitu kingine. Haitoshi tu kupigiwa simu ati mtu anaangalia shilawadu nawe unakenua
 
Kodi isitumike kukomoa wakosoaji wa utawala.
 
Sizonje....

Hofu kuu imemtawala yeye na Vibaraka wake.
 
Reactions: Lee
Mambosasa alituahidi kutupa taarifa ya VIROBA VYA MAITI za coco beach hadi leo kafyata mkia.. yupo busy na kina Dokta Shika ili asake umaarufu
 
Hahaaaaaaa yaani hadi katuni ni uchonganishi? Huyu Ngosha hawezi kuwa na mwisho mzuri. [HASHTAG]#takeitfromme[/HASHTAG]
 
Reactions: 911
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…