Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe umesoma mashudu na unaquote mashudu yanguUmeandika mashudu
Katuni husika umeiona ebu unganisha na mchango uone kama vinaendana..Masoud Kipanya pia anapaswa kuelewa kuwa KODI siyo silaha ya MAANGAMIZI. Kila nchi duniani watu wanalipa kodi, hakuna taifa ambalo raia wake hawalipi kodi.
Hapa Tanzania, raia wanaichukia kodi sababu walizoea kuishi maisha ya kukwepa kulipa kodi. Sasa hivi wamekutana na Serikali MAKINI yenye kukusanya kodi, wanaiona kodi ni kama mateso. Ndiyo maana akina Masoud wanachora michoro inayo-depict kodi kama silaha ya kuwaangamiza wananchi.
Kwa weledi na exposure aliyoanayo Masoud Kipanya hakupaswa kuchora mchoro kama huo. Yeye ni mtu ambaye yupo kwenye sekta ya habari na anaelewa sana umuhimu wa kodi kwa taifa hili.
Ingawa hana kesi ya kujibu lakini ukweli ni kwamba amekosea sana. He should have done better.
Masoud Kipanya pia anapaswa kuelewa kuwa KODI siyo silaha ya MAANGAMIZI. Kila nchi duniani watu wanalipa kodi, hakuna taifa ambalo raia wake hawalipi kodi.
Hapa Tanzania, raia wanaichukia kodi sababu walizoea kuishi maisha ya kukwepa kulipa kodi. Sasa hivi wamekutana na Serikali MAKINI yenye kukusanya kodi, wanaiona kodi ni kama mateso. Ndiyo maana akina Masoud wanachora michoro inayo-depict kodi kama silaha ya kuwaangamiza wananchi.
Kwa weledi na exposure aliyoanayo Masoud Kipanya hakupaswa kuchora mchoro kama huo. Yeye ni mtu ambaye yupo kwenye sekta ya habari na anaelewa sana umuhimu wa kodi kwa taifa hili.
Ingawa hana kesi ya kujibu lakini ukweli ni kwamba amekosea sana. He should have done better.
Hii katuni siielewi kabisa, naomba ufafanuzi. 1.) Hilo kombora la kodi linaelekezwa kwa adui yupi?
Huenda ni mtu hatari Sana huyuLazaro Mambosasa.....huyu jamaa anapenda sifa sana.. Nahisi anajiandaa kua IGP maana sote tunajua Siro akiteleza tu Mkuu anamtema.. Sasa who is the next IGP, ni Mambosasa.
Tukamateni wote mridhike
Uweyelo hawajauona?tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
Hivi unadhani watu wanakamatwa tu bila maagizo yake , anaagiza mwenyewe .Watampa promo ya maana sana kama watamkamata.
Na kama ni kweli basi kuna haja bwana mkubwa kuangalia utendaji kazi wa baddhi ya wasaidizi wake maana izi kamata kamata sasa mpaka mchora Katuni?
Waambie mwenyewe...Wambieni polisi waache upumbavu na ujinga
Ha ha ha hatutakii memaWaambie mwenyewe...
Endelea kuwashwawashwa siku ukijikuta nyuma ya nondo kisa kuropoka ropoka ndo utajua!!Peleka uoga wako huko!! Kutulia ukimaanisha nini!!
Kodi isitumike kukomoa wakosoaji wa utawala.Masoud Kipanya pia anapaswa kuelewa kuwa KODI siyo silaha ya MAANGAMIZI. Kila nchi duniani watu wanalipa kodi, hakuna taifa ambalo raia wake hawalipi kodi.
Hapa Tanzania, raia wanaichukia kodi sababu walizoea kuishi maisha ya kukwepa kulipa kodi. Sasa hivi wamekutana na Serikali MAKINI yenye kukusanya kodi, wanaiona kodi ni kama mateso. Ndiyo maana akina Masoud wanachora michoro inayo-depict kodi kama silaha ya kuwaangamiza wananchi.
Kwa weledi na exposure aliyoanayo Masoud Kipanya hakupaswa kuchora mchoro kama huo. Yeye ni mtu ambaye yupo kwenye sekta ya habari na anaelewa sana umuhimu wa kodi kwa taifa hili.
Ingawa hana kesi ya kujibu lakini ukweli ni kwamba amekosea sana. He should have done better.
kunguru tuKweli mkuu wa kaya ni muoga. Hadi katuni zinamuogopesha. Kaazi kweli kweli
Kwi! Kwi! Kwi! Njaa baba .Wewe inaonekana ulisomeshwa kwa gharama za Papuchi, The sacrificed papuchi in favour of Nyani Ngabu, Una mawazo mgando sana
Hivi ni lini watanzania mtaongea lugha moja?tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi