Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe hutaki kuwaambia ?Wambieni polisi waache upumbavu na ujinga
Katuni inachonganishaje utawala Na wananchi? Polisi kimekuwa chombo cha kuzika haki Na Uhuru wa kujielezaMchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
picha tafadhali
tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uwelediMchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
Kwani fani ni lazima uchore uchocheziKumbe si uchumi tu mpka fani za watu zinatakiwa kufa.
uweledi my foottuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
Hakuna kesi hapo ni kupoteza muda tu, labda wampe kesi ya kuhujumu uchumi.hawawezi kufanya kosa kama hilo. kakobe tu ameshawanyoosha hawana hamu, wanahitaji kufanya kitu kingine ili wananchi wazidi kuwachukia?