Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Ni bora angechora kabisa Kibonzo, akionesha Kombora likielekezwa Magogoni..![emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji111] [emoji111]
 
Khaaa masoud fala sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
6c453b29b089719ab1a56a432e108e0b.jpg
 
wanampa promo tu. akitoka tunaomba atuchoree kikatuni cha watu wa gerezani au lockup, kwasababu kule atakutana na mengi sana yatakayoendeleza taaluma yake.
 
Back
Top Bottom