Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Hakuna kesi hapo ni kupoteza muda tu, labda wampe kesi ya kuhujumu uchumi.
serikali huwa haikosi kesi mkuu. wakikosa kabisa utakuta kuna money laundering hapo akaepo ndani kidogo afu watakuja kufuta akishanyooka.....
 
Kuna haja wazee mwaka 2020 sio mbali hatuwez kuongozwa na mtu anayetutia umasikini na tukakosa hadi uhuru wa kuongea
 
Jamani mimi nimekaa nimetafakari sana. Lakini siku ikifika pabaya kuna watu wa kwanza kukatwa vichwa. Hawazidi 20.
 
Watamuuliza aeleze kwa nini neno "Serikali' kalielekeza kwenye Sambwanda na sio Kichwani kwenye ma brains. Police wetu akili zao ni za kipekee mnoo. Na sijui ni Serikali ipi au ya Nchi gani Kipanya anaongelea hapo😀
 
kimosi , kipili, kinyam, tandala, kimagulu ,teyi, teyii, TANGANYIKA, msumbwi, nangaa.
 
Tangu mwaka 2018 uingie Mpaka muda huu umeme umekatika na kuwaka huku kwetu zaidi ya mara 5.
 
Back
Top Bottom