Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Namnukuu Lissu, "Akitoka kwetu sisi atahamia kwenu ninyi,kisha kwa wale...hakika hakuna alie salama katika awamu hii'.
Ni zamu ya wachora vibonza sasa nao kuisoma namba...
Tuendelee kumuombea ili asamehewe maana Kutubu mwenyewe hataki.
 
Uchumi unakua kwa kasi ya ajabu,
Yaani sasa hivi USA, China, UK wote wako mbali tumeshawaweka kushoto.

7.7-6.8% si mchezo.
Tunaikimbiza duniaa.


Hivi ndivyo vitu Pombe linataka kusikia.
Tanzania ya viwanda
 
Lakini ni kweli kodi si ndio chanzo cha mapato yetu na siraha ya serikali katika kutuletea maendeleo
 
Hiyo katuni imetuchocheaji sisi wananchi?

Hiki kitendo cha wao kumkamata ndio uchochezi wenyewe
 
Ni uchochezi kweli maana huo mshale wa neno serikali kaelekeza kwny makalio! Unajua wanaume hatupendi kuchezewa makalio? Kwa nn asingeelekeza huo mshale mgongoni? Polisi wenyewe bosi wao Bashite hahaha!
 
Kwanza, Heri ya Mwaka Mpya kwenu nyote!

Tusichoke wala kukata tamaa, yana mwisho haya.
 
Tulijua hilo tulikuwa tunalisubiri litimie tu. Wachochezi siku hizi ni wengi sana sijui kunaini Tz?
 
Back
Top Bottom