Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Wanahabari endeleeni kukaa kimya! Woga wenu ndo mwisho wenu!
 
Inawezekana jamaa kaamua kutoka zake `out' kimyakimya sikukuu hii, kumbe huku nyuma anazua taharuki kubwa.
 
Baada ya masoud unafuata wewe maana confidence za nyuma ya key board zinakupa kibri
 
Nadhani umefika wakati wa kama mmbwai na iwe mmbwai
This is too much something needs to be done sasa!
Huyu bashite alilogwa au
JWTZ upo umuhimu wa kuliamsha Jeshi la Polisi
Pakawa liamushe basi tukuone au unaliamsha ukiwa nyuma ya keyboard!! Angalia yasikukute??
 
Mkuu kavute kwanza cannabis sativa yako akili ikae sawa hao. Wabunge ni wa nchi gani unayoizungumzia kama ni hivi malizie kipisi cha cannabis sativa hapo halafu tuzungumze
 
Hawakukosea kusema dictecta uchwarA? Yaani raisi wa Tz ni mfalme au?? Mbona akina Trump wanachorwa sana tu lkn hawana kazi na media, naona shetani wa hirizi yupo kazini
 
Malaika mtakatifu hakosolewii..
Upanga utakuhusu tuu..
 
Clouds mkampigie magoti yule mtabiri wa roma amtabilie na masoud kipanya lini atapatikana kabla hajatumwa india kwenye matibabu.
 
Hawakukosea kusema dictecta uchwarA? Yaani raisi wa Tz ni mfalme au?? Mbona akina Trump wanachorwa sana tu lkn hawana kazi na media, naona shetani wa hirizi yupo kazini
Wewe umeshamtukana Rais kwa taarifa ya uongo!! Sasa ukishughulikiwa na serikali utasema umeonewa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…