Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Wanahabari endeleeni kukaa kimya! Woga wenu ndo mwisho wenu!
 
Inawezekana jamaa kaamua kutoka zake `out' kimyakimya sikukuu hii, kumbe huku nyuma anazua taharuki kubwa.
 
JamiiForums THIBITISHENI KAMA HII KITU HAPA CHINI NI KWELI YENU.
Thibitisheni humu JF.

20180101_194353.png
 
Daaah wameshafunga naye mwaka hawa wanaotakiwa kutubu

Daaaah hata wakati wa sherehe wenzetu wapo kwenye upuuzi wao tu..

Kama ni kwel basi kama taifa tutakuwa tumepoteza mtu mwingine muhimu

Ni bora sasa Lissu akirudi tumuingize ikulu kwa damu 2020...
Baada ya masoud unafuata wewe maana confidence za nyuma ya key board zinakupa kibri
 
Nadhani umefika wakati wa kama mmbwai na iwe mmbwai
This is too much something needs to be done sasa!
Huyu bashite alilogwa au
JWTZ upo umuhimu wa kuliamsha Jeshi la Polisi
Pakawa liamushe basi tukuone au unaliamsha ukiwa nyuma ya keyboard!! Angalia yasikukute??
 
Naomba wabunge wapitishe mswada utakaotoa muongozo wa namna ya kuikosoa serikali, kila kitu kiwekwe wazi nani anaruhusiwa kuikosoa serikali, atumie njia gani na wakati gani. Kama haitakiwi kuwakosoa basi waseme humo humo.

Wasitufanyee wajinga mtu ukiamka tu unajsikia unapindisha sheria unamkamata mtu, hii inajenga chuki baina ya wananchi na serikali yao, mnajifanya mnazuia uchochezi kumbe ndio mnatuchochea zaidi kutokana na uonevu mnaofanya kwa kupindisha sheria.

Ni bora tujue moja kwamba hatuna haki ya kuhoji chochote serikali inachofanya kuliko mtudanganye kwamba tuko huru kusema chochote halafu mnatukamata.
Mkuu kavute kwanza cannabis sativa yako akili ikae sawa hao. Wabunge ni wa nchi gani unayoizungumzia kama ni hivi malizie kipisi cha cannabis sativa hapo halafu tuzungumze
 
Hawakukosea kusema dictecta uchwarA? Yaani raisi wa Tz ni mfalme au?? Mbona akina Trump wanachorwa sana tu lkn hawana kazi na media, naona shetani wa hirizi yupo kazini
 
Malaika mtakatifu hakosolewii..
Upanga utakuhusu tuu..
 
Clouds mkampigie magoti yule mtabiri wa roma amtabilie na masoud kipanya lini atapatikana kabla hajatumwa india kwenye matibabu.
 
Hawakukosea kusema dictecta uchwarA? Yaani raisi wa Tz ni mfalme au?? Mbona akina Trump wanachorwa sana tu lkn hawana kazi na media, naona shetani wa hirizi yupo kazini
Wewe umeshamtukana Rais kwa taarifa ya uongo!! Sasa ukishughulikiwa na serikali utasema umeonewa??
 
Back
Top Bottom