Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee mwehu kweli yaani huyo mchambia karatasi amtishe naniHii sasa hatari lakini bishop aliwaambia watu wa usalama wasiangaike naye yeye ni jabali naona walighwaya
Jamiiforums huko twitter wanasema sio taarifa za kweli.Inawezekana jamaa kaamua kutoka zake `out' kimyakimya sikukuu hii, kumbe huku nyuma anazua taharuki kubwa.
Na wewe dawa yako inachemka maana unajiona umejificha sana hukamatiki jinga wewe ngoja muda ufike utaenda kumvua hirizi soonToo much, hata Idi Amin hakuwa na kasi kama ya huyu mvaa hirizi.
Baada ya masoud unafuata wewe maana confidence za nyuma ya key board zinakupa kibriDaaah wameshafunga naye mwaka hawa wanaotakiwa kutubu
Daaaah hata wakati wa sherehe wenzetu wapo kwenye upuuzi wao tu..
Kama ni kwel basi kama taifa tutakuwa tumepoteza mtu mwingine muhimu
Ni bora sasa Lissu akirudi tumuingize ikulu kwa damu 2020...
Pakawa liamushe basi tukuone au unaliamsha ukiwa nyuma ya keyboard!! Angalia yasikukute??Nadhani umefika wakati wa kama mmbwai na iwe mmbwai
This is too much something needs to be done sasa!
Huyu bashite alilogwa au
JWTZ upo umuhimu wa kuliamsha Jeshi la Polisi
Mkuu kavute kwanza cannabis sativa yako akili ikae sawa hao. Wabunge ni wa nchi gani unayoizungumzia kama ni hivi malizie kipisi cha cannabis sativa hapo halafu tuzungumzeNaomba wabunge wapitishe mswada utakaotoa muongozo wa namna ya kuikosoa serikali, kila kitu kiwekwe wazi nani anaruhusiwa kuikosoa serikali, atumie njia gani na wakati gani. Kama haitakiwi kuwakosoa basi waseme humo humo.
Wasitufanyee wajinga mtu ukiamka tu unajsikia unapindisha sheria unamkamata mtu, hii inajenga chuki baina ya wananchi na serikali yao, mnajifanya mnazuia uchochezi kumbe ndio mnatuchochea zaidi kutokana na uonevu mnaofanya kwa kupindisha sheria.
Ni bora tujue moja kwamba hatuna haki ya kuhoji chochote serikali inachofanya kuliko mtudanganye kwamba tuko huru kusema chochote halafu mnatukamata.
Wewe jamaa unatakiwa upigwe BAN na polisi wakukamate wewe sasa.Uongozi wa Clouds Media Group (CMG) unawaomba wananchi wote nafasi ya utulivu wakati tukiendelea kuzifanyia kazi taarifa kamili wapi alipo masoudkipanya Uongozi utaoa majibu ya kina.
Acha utani mkuu.Inawezekana jamaa kaamua kutoka zake `out' kimyakimya sikukuu hii, kumbe huku nyuma anazua taharuki kubwa.
Wewe umeshamtukana Rais kwa taarifa ya uongo!! Sasa ukishughulikiwa na serikali utasema umeonewa??Hawakukosea kusema dictecta uchwarA? Yaani raisi wa Tz ni mfalme au?? Mbona akina Trump wanachorwa sana tu lkn hawana kazi na media, naona shetani wa hirizi yupo kazini