Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Lazaro Mambosasa.....huyu jamaa anapenda sifa sana.. Nahisi anajiandaa kua IGP maana sote tunajua Siro akiteleza tu Mkuu anamtema.. Sasa who is the next IGP, ni Mambosasa.

Tukamateni wote mridhike
 
hawawezi kufanya kosa kama hilo. kakobe tu ameshawanyoosha hawana hamu, wanahitaji kufanya kitu kingine ili wananchi wazidi kuwachukia?
Hakuna kesi hapo ni kupoteza muda tu, labda wampe kesi ya kuhujumu uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…