hiyo picha iliyofanywa akashikwa ni ipiNani wa kuchora wakati mchoraji kakamatwa?
Mi hapa siuoni uchochezi.. ninachokiona hapa ni kashfa tu kwamba serikali inatumia makalio kufikiri..Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood
Nyerere aliwakataa vijana wa aina yako..Mh! Bora ninyamaze wasije wakanikakobe bure!
uchochezi is incitement.Hivi "UCHOCHEZI" ni sawa na "AWARENESS CREATION", kwa kiingereza? Anayejua anisaidie.
Wewe huna tofauti ya kiakili na pimbi mwenzio cocochanel!tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
Weka number ya sim kabisa kama wanafiki wenzio ili mpigiweKhaaa masoud fala sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]