Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Serikali la ajabu kutokea. Tatizo la kutawaliwa na watu wasio na hekima na busara matokeo yake ndo kamatakamata za kijuha.
 
Mbona kama amna media yoyote imetoa taarifa mpaka sasa...?

Kama ni kweli huu ni ujinga wa kiwango cha aina yake....!
 
Mi hapa siuoni uchochezi.. ninachokiona hapa ni kashfa tu kwamba serikali inatumia makalio kufikiri..
Kaka wewe Noma... Kwa kweli you are a great thinker na ndio utamu wa lugha za vibonzo..
Ila Mchoraji hana hatia yoyote maana kaandika serikali na haijulikani ni ipi hata kama atahojiwa hamna cha kumtia hatiani.. ila nimeipenda sana katuni na maelezo yako..
 
Daàh aiseee hivi vitakuwa visa tu
 
Huyu alizoea sana na katuni zake za matusi wamsweke ndani tu mmae
 
HIvi awamu hii mbona haijiamini, very insecure. Mwisho tutakamata hadi wanyama kwa uchochezi!
 
Waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari wangekuwa wanajitambua na wana umoja wasingenyanyasika hata kidogo.
Watajitambuaje wkt wanategemea matangazo ya serikali kujiendesha?
 
Au alizidisha tena lile chogo la mbele ? Coz masudi nae mchokozi sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…