Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiongelea masuala ya kodi unajua nchi inaitwa Brunei ?Masoud Kipanya pia anapaswa kuelewa kuwa KODI siyo silaha ya MAANGAMIZI. Kila nchi duniani watu wanalipa kodi, hakuna taifa ambalo raia wake hawalipi kodi.
Hapa Tanzania, raia wanaichukia kodi sababu walizoea kuishi maisha ya kukwepa kulipa kodi. Sasa hivi wamekutana na Serikali MAKINI yenye kukusanya kodi, wanaiona kodi ni kama mateso. Ndiyo maana akina Masoud wanachora michoro inayo-depict kodi kama silaha ya kuwaangamiza wananchi.
Kwa weledi na exposure aliyoanayo Masoud Kipanya hakupaswa kuchora mchoro kama huo. Yeye ni mtu ambaye yupo kwenye sekta ya habari na anaelewa sana umuhimu wa kodi kwa taifa hili.
Ingawa hana kesi ya kujibu lakini ukweli ni kwamba amekosea sana. He should have done better.
yaaa tumeamua kufuta kila kitu, tumeanza na wachoraji then next week tunakamata katuni wrote nchi nzima. Hapa Nazi tu dadekNani wa kuchora wakati mchoraji kakamatwa?
Ndio unachoogopa, mjinga sana wewe. Alifungwa Mbowe itakuwa mimi? Nenda zako. Sisi tupo na tutaendelea kupigania uhuru nchini ya mkoloni mweusi mpaka mwisho.Endelea kuwashwawashwa siku ukijikuta nyuma ya nondo kisa kuropoka ropoka ndo utajua!!
Wapi kasema mabo ya silaha za maangamizi? Utatoa ushahidi hivyo mahakamani? pathetic!Masoud Kipanya pia anapaswa kuelewa kuwa KODI siyo silaha ya MAANGAMIZI. Kila nchi duniani watu wanalipa kodi, hakuna taifa ambalo raia wake hawalipi kodi.
Hapa Tanzania, raia wanaichukia kodi sababu walizoea kuishi maisha ya kukwepa kulipa kodi. Sasa hivi wamekutana na Serikali MAKINI yenye kukusanya kodi, wanaiona kodi ni kama mateso. Ndiyo maana akina Masoud wanachora michoro inayo-depict kodi kama silaha ya kuwaangamiza wananchi.
Kwa weledi na exposure aliyoanayo Masoud Kipanya hakupaswa kuchora mchoro kama huo. Yeye ni mtu ambaye yupo kwenye sekta ya habari na anaelewa sana umuhimu wa kodi kwa taifa hili.
Ingawa hana kesi ya kujibu lakini ukweli ni kwamba amekosea sana. He should have done better.
Tayari ameshawapa makavuWaambie mwenyewe...
Hiki kicheko balaaaKwi! Kwi! Kwi! Njaa baba .
Hivi ni nani anayewashauri hawa? Kuna uchochezi gani hapa? Btw huyu kipanya amechora katuni za dizaini hii toka enzi za Mwinyi ....nini shida?Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood
Unaitaji upeo fulani kulijua hilo no wonder ata Yesu alisema"Nakushukuru ee Mungu kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na ukawafunulia watoto wachanga"Huko kumkamata ndo moja ya vitu vitavyoichonganisha serikali na wananchi!
Kama kweli anaagiza basi kuna shida mahala.Hivi unadhani watu wanakamatwa tu bila maagizo yake , anaagiza mwenyewe .
Mfyuuu eti mkoloni mweusi hahah yaani nyie vijana mtaendelea kuwa makarai for the rest of lives maana sijaona mzalendo..wengi wenu mko na ujasiri nyuma ya keyboard mkiwekwa hadharani mnalia Lia..kama wajiamini jiweke account yako verified ili upambane nao vizuri.Tulizeni mshono nyie.Ndio unachoogopa, mjinga sana wewe. Alifungwa Mbowe itakuwa mimi? Nenda zako. Sisi tupo na tutaendelea kupigania uhuru nchini ya mkoloni mweusi mpaka mwisho.
Hiyo kesi atashinda na atalipwa fidia, niulize kwann atashindaPumbavu polisi viazi kabisa
Huyu wa sasa eti hajaribiwi.Hivi ni nani anayewashauri hawa? Kuna uchochezi gani hapa? Btw huyu kipanya amechora katuni za dizaini hii toka enzi za Mwinyi ....nini shida?
Nimeiona ndiyo maana nimeandika nilichokiandika au siyo hiyo iliyopo kwenye "uzi" huu?Katuni husika umeiona ebu unganisha na mchango uone kama vinaendana..