Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya pia anapaswa kuelewa kuwa KODI siyo silaha ya MAANGAMIZI. Kila nchi duniani watu wanalipa kodi, hakuna taifa ambalo raia wake hawalipi kodi.

Hapa Tanzania, raia wanaichukia kodi sababu walizoea kuishi maisha ya kukwepa kulipa kodi. Sasa hivi wamekutana na Serikali MAKINI yenye kukusanya kodi, wanaiona kodi ni kama mateso. Ndiyo maana akina Masoud wanachora michoro inayo-depict kodi kama silaha ya kuwaangamiza wananchi.

Kwa weledi na exposure aliyoanayo Masoud Kipanya hakupaswa kuchora mchoro kama huo. Yeye ni mtu ambaye yupo kwenye sekta ya habari na anaelewa sana umuhimu wa kodi kwa taifa hili.

Ingawa hana kesi ya kujibu lakini ukweli ni kwamba amekosea sana. He should have done better.
Ukiongelea masuala ya kodi unajua nchi inaitwa Brunei ?
Kafuatilie data halafu urudi
 
Katuni haionyeshi uchochezi ni upi,na wala haikutajwa ni serikali ya kenya,burundi au uganda.
 
Endelea kuwashwawashwa siku ukijikuta nyuma ya nondo kisa kuropoka ropoka ndo utajua!!
Ndio unachoogopa, mjinga sana wewe. Alifungwa Mbowe itakuwa mimi? Nenda zako. Sisi tupo na tutaendelea kupigania uhuru nchini ya mkoloni mweusi mpaka mwisho.
 
Masoud Kipanya pia anapaswa kuelewa kuwa KODI siyo silaha ya MAANGAMIZI. Kila nchi duniani watu wanalipa kodi, hakuna taifa ambalo raia wake hawalipi kodi.

Hapa Tanzania, raia wanaichukia kodi sababu walizoea kuishi maisha ya kukwepa kulipa kodi. Sasa hivi wamekutana na Serikali MAKINI yenye kukusanya kodi, wanaiona kodi ni kama mateso. Ndiyo maana akina Masoud wanachora michoro inayo-depict kodi kama silaha ya kuwaangamiza wananchi.

Kwa weledi na exposure aliyoanayo Masoud Kipanya hakupaswa kuchora mchoro kama huo. Yeye ni mtu ambaye yupo kwenye sekta ya habari na anaelewa sana umuhimu wa kodi kwa taifa hili.

Ingawa hana kesi ya kujibu lakini ukweli ni kwamba amekosea sana. He should have done better.
Wapi kasema mabo ya silaha za maangamizi? Utatoa ushahidi hivyo mahakamani? pathetic!
 
Hivi akipelekwa mahakamani akasema hakuwa na maana ni Tanzania itakuwaje. Sanaa ni fasihi...
 
Huko kumkamata ndo moja ya vitu vitavyoichonganisha serikali na wananchi!
Unaitaji upeo fulani kulijua hilo no wonder ata Yesu alisema"Nakushukuru ee Mungu kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na ukawafunulia watoto wachanga"
 
6ee3bed0cf48d945c9c8562f595a1488.jpg
 
Ndio unachoogopa, mjinga sana wewe. Alifungwa Mbowe itakuwa mimi? Nenda zako. Sisi tupo na tutaendelea kupigania uhuru nchini ya mkoloni mweusi mpaka mwisho.
Mfyuuu eti mkoloni mweusi hahah yaani nyie vijana mtaendelea kuwa makarai for the rest of lives maana sijaona mzalendo..wengi wenu mko na ujasiri nyuma ya keyboard mkiwekwa hadharani mnalia Lia..kama wajiamini jiweke account yako verified ili upambane nao vizuri.Tulizeni mshono nyie.
 
Hivi ni nani anayewashauri hawa? Kuna uchochezi gani hapa? Btw huyu kipanya amechora katuni za dizaini hii toka enzi za Mwinyi ....nini shida?
Huyu wa sasa eti hajaribiwi.
Wote waliotangulia walikuwa wanapasha kiti moto ili yeye mteule wa Mungu aje. Sasa kaja, na hakuna mwenye akili kumzidi yeye Tanzania yote.
 
Kama hii habari ni kweli basi ujumbe utakuwa umewafikia wale akina tomasi ya kuwa serikali yetu inaelekea wapi. Alisemaga Sumaye "Nchi hii ukitaka mambo yako yaende vizuri uwe mwanachama wa .........., huyu wa sasa kaongeza bila kusema ukiikosoa au kuisema serikali haijalishi ni lichama gani, utapambana na nguvu ya dola-kama hiyo silaha ya mwisho"
 
Back
Top Bottom