Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Acha roho mbaya Bi Harusi.Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbaya Bi Harusi.Safi sana
Sasa 5 b wakuu si mtasababisha atembeze bakuli kijana yuleTutadaka like ghorofa tutapiga bei. Ndio tutajua lake ama sio lake
Hakua specific. Either ngada, danguro au kuwadhamini upinde. Ivyo ndio vitu haramu.Alimwambia anauza nini?🤣🤣🤣
Bakuli au atapigwa mbususuuSasa 5 b wakuu si mtasababisha atembeze bakuli kijana yule
KabisaNa iwe fundisho Kwa waropokaji wengine kama dotto na baba levo wajue mipaka ya kazi zao
Roho mbaya gan Tena jamani!Acha roho mbaya Bi Harusi.
Tutakamata ghorofa, tutakamata magari, tutakamata mshahara wake tutamuachia mke tu.Lile Billion 1. Sasa 4 atatoa wapi?
Paref sana hana mbususu ya kuwekewa hela hiyoBakuli au atapigwa mbususuu
Hii ishu ipo seriousB500 Masudi nae hayuko serious inakuwa kama kiki tu ya kuikuza Crown kwamba sasa watu wamfatilie Mwijaku akiwa Crown anasema nini kuhusu hilo huku clouds ikiendelea kufuatiliwa.
Mkuu, ata kama ana magari 5 hayafiki Mil 100 yule.Tutakamata ghorofa, tutakamata magari, tutakamata mshahara wake tutamuachia mke tu.
This time he mess up with a wrong dude. Big time.
Bil 5.B500 Masudi nae hayuko serious inakuwa kama kiki tu ya kuikuza Crown kwamba sasa watu wamfatilie Mwijaku akiwa Crown anasema nini kuhusu hilo huku clouds ikiendelea kufuatiliwa.
Ila pia naona hizi shutuma zikiishia kwenye baraza la usuluhishi tuu maneno yasizidi kuwa mengiKwa waropokaji kama mwijaku wanatakiwa kufinywa hivo, toka marehem Membe amfinye musiba umeshamsikia tena akiropokwa ujinga
Hapana kikubwa iwe funzo Kwa sasaIla pia naona hizi shutuma zikiishia kwenye baraza la usuluhishi tuu maneno yasizidi kuwa mengi
Ni kweli nasisi tunataka kumdhalilisha kwa staili hiyoMkuu, ata kama ana magari 5 hayafiki Mil 100 yule.
Funzo ni mtuhumiwa kulipa faini akikutwa na hatia au kifungo akishindwa zaidi ya hapo hii michezo ya kuigiza itaendelea kuwepoHapana kikubwa iwe funzo Kwa sasa