Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daah kazi ipo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee asante kwa kunijuza.Kwa jinsi sheria zilivyo Ghorofa haliwezi kuuzwa na mahakama sababu. Ni matrimonial property. Mwijaku sio lake peke yake. Na Mke wa mwijaku hausiki kwenye hiyo kesi ya madai...
Mkuu, Kwani katika umiliki wa mali mfano hilo ghorofa umiliki si unasoma jina moja?Kwa jinsi sheria zilivyo Ghorofa haliwezi kuuzwa na mahakama sababu. Ni matrimonial property. Mwijaku sio lake peke yake. Na Mke wa mwijaku hausiki kwenye hiyo kesi ya mada...
hahaha mke anaenda upande wa Kipanya
Ushamchorea ramani tayari.Tutadaka like ghorofa tutapiga bei. Ndio tutajua lake ama sio lake
Mkuu, Kwani katika umiliki wa mali mfano hilo ghorofa umiliki si unasoma jina moja?
Ama inakuwaje?
Mpaka hapa ndio nimeshtuka.B500 Masudi nae hayuko serious inakuwa kama kiki tu ya kuikuza Crown kwamba sasa watu wamfatilie Mwijaku akiwa Crown anasema nini kuhusu hilo huku clouds ikiendelea kufuatiliwa.
Mwanasheria wa Masoud kipanya naona anaropoka sana hajui namna ya kukaa na neno .lipi aliseme lipi asiseme kwenye media kwa haraka haraka ili suala kama halitaaingiliwa na wakubwa kutoka Juu zaidi mwijaku atakomolewa. Au ataamua kujitetea kwa kuleta ushahidi hapa ndipo mambo yatakuwa makubwa zaidi kama kesi ya MboweB500 Masudi nae hayuko serious inakuwa kama kiki tu ya kuikuza Crown kwamba sasa watu wamfatilie Mwijaku akiwa Crown anasema nini kuhusu hilo huku clouds ikiendelea kufuatiliwa.
He made his bed, now he must lie in it.Play stupid games, win stupid prizes.
Asante kwa elimu.mali iliyopatikana wakati wa ndoa ni mali ya wanandoa hata kama imenunuliwa na Mume au Mke, hata kama ipo kwa jina la Mume au Mke.
Sheria hailazimishi jina la mke ama mume liwepo kwenye hati. Jina la mmojawapo linaweza likatumika kwenye mali ya wanandoa
Kuna mtu atasema Job Available.Daah kazi ipo...
Ni 5B na si 500B unajua case ya de-famation ni very serious hasa kwa mtu maarufu na aliyejitengenezea CV nzuri kwa miaka mingi tu kikubwa mwijaku ajipange tu.B500 Masudi nae hayuko serious inakuwa kama kiki tu ya kuikuza Crown kwamba sasa watu wamfatilie Mwijaku akiwa Crown anasema nini kuhusu hilo huku clouds ikiendelea kufuatiliwa.
SAFI SANA MASOUD KIPANYA HAWA MACHAWA WANAHARIBU SIFA ZA WATU HUYU NA MACHAWA WENGINE WAPO KUHARIBU CV NZURI ZA WATU MNYOOSHE KAMA ALIVYONYOOSHWA MUSIBAAlimwambia anauza nini?🤣🤣🤣