Masoud Kipanya amfungulia Mwijaku Kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumtuhumu kufanya biashara haramu

Kwa jinsi sheria zilivyo Ghorofa haliwezi kuuzwa na mahakama sababu. Ni matrimonial property. Mwijaku sio lake peke yake. Na Mke wa mwijaku hausiki kwenye hiyo kesi ya mada...
Mkuu, Kwani katika umiliki wa mali mfano hilo ghorofa umiliki si unasoma jina moja?
Ama inakuwaje?
 
mali iliyopatikana wakati wa ndoa ni mali ya wanandoa hata kama imenunuliwa na Mume au Mke, hata kama ipo kwa jina la Mume au Mke.

Sheria hailazimishi jina la mke ama mume liwepo kwenye hati. Jina la mmojawapo linaweza likatumika kwenye mali ya wanandoa
 
B500 Masudi nae hayuko serious inakuwa kama kiki tu ya kuikuza Crown kwamba sasa watu wamfatilie Mwijaku akiwa Crown anasema nini kuhusu hilo huku clouds ikiendelea kufuatiliwa.
Mwanasheria wa Masoud kipanya naona anaropoka sana hajui namna ya kukaa na neno .lipi aliseme lipi asiseme kwenye media kwa haraka haraka ili suala kama halitaaingiliwa na wakubwa kutoka Juu zaidi mwijaku atakomolewa. Au ataamua kujitetea kwa kuleta ushahidi hapa ndipo mambo yatakuwa makubwa zaidi kama kesi ya Mbowe
 
mali iliyopatikana wakati wa ndoa ni mali ya wanandoa hata kama imenunuliwa na Mume au Mke, hata kama ipo kwa jina la Mume au Mke.

Sheria hailazimishi jina la mke ama mume liwepo kwenye hati. Jina la mmojawapo linaweza likatumika kwenye mali ya wanandoa
Asante kwa elimu.
 
B500 Masudi nae hayuko serious inakuwa kama kiki tu ya kuikuza Crown kwamba sasa watu wamfatilie Mwijaku akiwa Crown anasema nini kuhusu hilo huku clouds ikiendelea kufuatiliwa.
Ni 5B na si 500B unajua case ya de-famation ni very serious hasa kwa mtu maarufu na aliyejitengenezea CV nzuri kwa miaka mingi tu kikubwa mwijaku ajipange tu.
 
Back
Top Bottom