Masoud Kipanya amfungulia Mwijaku Kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumtuhumu kufanya biashara haramu

Kipanya ashikirie misimamo wake asimsamehe huyo, maana amezoea kuropoka ropoka hovyo ,anadhani Kipanya sawa na Diamond aliyezoea kumtusi kila kukicha halafu akiwa naye anajikomba komba kwa kigezo cha kutengeneza content.
 
B500 Masudi nae hayuko serious inakuwa kama kiki tu ya kuikuza Crown kwamba sasa watu wamfatilie Mwijaku akiwa Crown anasema nini kuhusu hilo huku clouds ikiendelea kufuatiliwa.
Ukiongea haya maneno mbele ya Mwijaku anaweza akakuchapa makofi.
 
Masudi akamatie hapohapo aliposhika
 
Ajiandae kukimbiwa na mkewe
 
Spinning....
 
Km anataka asamehewe mm namshauri kipanya amwambie aruke kichura mita nne akipiga filimbi tu asimsamehe maana anaudhalilisha uislam kwa kutobolewa spika.
Siyo mtaalamu wa sheria, ila huwa ninaona kesi za madai kama hizi za kuchafuana, huwa inatoka demand notice ya kumtaka aliyemchafua mtu fulani ku denounce ama kuomba radhi asipofanya ndio wanasonga mbele, sijui kama ni utaratibu au busara za wadai
 
Kwa jinsi sheria zilivyo Ghorofa haliwezi kuuzwa. Ni matrimonial property. Mwijaku sio lake. Na Mke wa mwijaku hausiki kwenye hiyo kesi ya madai.

Mahakama itakwama kukamata ghorofa
Samahani mkuu, unaweza kunipa elimu kuhusu Matrimonial property hiyo? Unaweza kuwa msaada mkubwa sana MELEKAHE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…