Hapo sasa! Mwenzake Doto Magari kuna siku alikuwa anatoa shutuma "mme na mke mmeenda kudanga Dubai" bila kutaja jina ni nani, lakini wakati huo huo ni Mwijaku na Mkewe walikuwa Dubai!Sijui msomi gani yule, unaeza toa tuhuma bila hata kutaja jina, ili iwe ngumu kutiwa hatiani sasa yeye msomi hata mitego midogo ya kisheria hajui,
Basi Masudi naye atakuwa mjinga. Atengeneze kiki ya kujichafulia jina! Mimi mwenyewe binafsi nilipoona Masudi anatuhumiwa kufanya biashara haramu nilishtuka mana jamaa tangu nikiwa mdogo nilikuwa naziona katuni zake nikawa namuona mtu wa maana!B500 Masudi nae hayuko serious inakuwa kama kiki tu ya kuikuza Crown kwamba sasa watu wamfatilie Mwijaku akiwa Crown anasema nini kuhusu hilo huku clouds ikiendelea kufuatiliwa.
Tutachukua Shea za mwijaku kwenye hilo gorofa you will seeKwa jinsi sheria zilivyo Ghorofa haliwezi kuuzwa. Ni matrimonial property. Mwijaku sio lake. Na Mke wa mwijaku hausiki kwenye hiyo kesi ya madai.
Mahakama itakwama kukamata ghorofa
Tutachukua Shea za mwijaku kwenye hilo gorofa you will see
MembeHivi kuna aliyewahi kulipwa ama kufungwa kwenye kesi ya namna hii?
Billion 5 zenye 10 10 za kutosha iwe fundisho kwa wale wote wasiojua kesi za defamationLabda biliion 5 za kuandika kwenye paper
Alipe billion 5 sasa Mdomo unaponza yale majisifu ya ghorofa ayaonyeshe kwa kulipa hio billion 5 kuonyesha kwamba yeye ni mwamba kwenye tasnia ya kuropoka ovyo kuhusu watu wengine alipokanyaga kakanyaga pabaya angeendelea kukanyaga kule kule kwa kina Baba Levo, Dotto Magari, Kurwa Magari, kuwakandia akina H Baba, Homoniza na mwenzie DearMonde wanaojuana huko ndicho yasingemtokea puaniHuyo Chawa naye amezidi kuropoka
Mwijaku narudia ujinga uleule alioufanya musiba, anyooshwe tu.Acha roho mbaya Bi Harusi.
Sina hakika ila tetesi ni Kusaga.Mpaka hapa ndio nimeshtuka.
Ahsante.
Wamiliki “Halali wa hiyo Crown ni nani pamoja na Ali K?
Sidhani kama deni linahama. Litahama kwa nani, kwa vigezo vipi? Nadhani anaenda na deni lake kaburini.Mkuu,vipi kama mdaiwa akifariki kabla ya kumaliza kulipa hiyo faini?
Spining kwa ajili ya Bajeti au?Spinning....
Alipiwe billion 5 na hao watu wakubwa Si wao ndio waliomtuma amchafue KipanyaSio rahisi chawa wa watu wakubwa kuwajibishwa kisheria