Masoud Kipanya amfungulia Mwijaku Kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumtuhumu kufanya biashara haramu

B500 Masudi nae hayuko serious inakuwa kama kiki tu ya kuikuza Crown kwamba sasa watu wamfatilie Mwijaku akiwa Crown anasema nini kuhusu hilo huku clouds ikiendelea kufuatiliwa.
Billion 5 sio Billion 500 hio 500 umesema wewe labda umechafuliwa kwengine huko
 
Hiyo ya kuomba msamaha ulikuwa mtego, Kuna boss wangu mmoja ulikuwaga ulifanya makosa kazin anakuambia uhandike maelezo Kisha anayaifadhi basi siku mashetani yake yakimpanda anatoa file anaanza kukusomea barua moja baada ya nyingine Kisha maisha yanaendelea maana udhaifu wake ilikuwa ukimuomba msamaha.
 
Vipi mwijaku akisimama mahakamani na kusema Kipanya alikuwa akifanya biashara haramu ya kutangaza pombe kipindi cha maisha plus . Unywaji wa pombe ni hatari kwa afya za vijana wengi. Kidini upande wa uislam pombe ni haram
What a rubbish comment!!..

Tokea lini unywaji pombe ulikuwa haramu kwa Watanganyika wenye 18+?
 
Watakavyo ona wao ina faa
Maana huyo aliye ongea inawezekana kabisa hajabahatisha na huyu aliyesemwa anajijua
Amesema aje mezani na Billion 5 ushaelewa yaan wakitaka wayamalize nje ya MAHAKAMA asogee mezani na kibunda cha Billion 5 sio vinginevyo
 
KP kafanya kitu cha maana,waropokaji hawa wamezidi kisa tu kuna visenti wanapewa.
 
Vipi mwijaku akisimama mahakamani na kusema Kipanya alikuwa akifanya biashara haramu ya kutangaza pombe kipindi cha maisha plus . Unywaji wa pombe ni hatari kwa afya za vijana wengi. Kidini upande wa uislam pombe ni haram
Pombe haramu ,kiimani au kwa mujibu wa sheria za nchi? Kumbuka hii nchi haiongozwi kwa sheria za dini.

Maana kuna viwanda kibao vya pombe na kila kwenye kila bajeti chanzo cha mapato kinachotegemewa na bajeti yetu ni pombe ndio maana kila siku wanaongeza kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…