Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Habari yenu wakuu,



Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kipanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nimemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
-----------

UPDATE: 30 January, 2018

Majibu ya Masoud Kipanya;

 
Ana mambo na miradi mingi sana town;
1, Program ya maisha plus ilimpa hela nyingi
2, Katuni zake zinamuingizia hela kibao
3, Ni moja ya watangazaji ghali tz
4, Amewekeza kwenye kilimo pia
5, Ana yard ya magar nk.
Sasa mwenzangu na mm utegemee kamshahara ka scale E au D ufikirie kudrive Hummer?
 
Katika picha yako hakuna popote ulikomuonyesha kipanya, na hiyo gari haijaandikwa jina lake. alafu nafikiri tuheshimu kauli ya mh. kwamba tufanye kazi. Hii kazi ya umbea huwa hailipi saana na mwishoni huwa inakuwa na kuwa wanga
 


Hummer siyo gari ya kifahari kihivyo, kama ukiweza kununua RAV2 unaweza pia kununua Hummer iliyotumika, na kuiwekea Mafuta siyo ishu unaweza kuitumia mara 2 kwa wiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…