Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mbona umefika mbali sasa ? ulchotakiwa kujbu hoja yale na sio um debase alichoongeaHiyo ni hoja au kihoja? huwezi kuwa mwanaume kamili unafuatilia mambo ya watu wengine, huyo mvulana wa mkoani atakua anawashwa makalio.
Habari yanu wakuu,
![]()
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom nikamfutoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
ana V8,hajapendelea hammerwewe una hammer ??
Huo muda na raslimali ulizitumia kwa kumuwinda mpaka ukafanikisha kupata hiyo picha, umeingiza shs ngapi labda?Habari yanu wakuu,
![]()
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom nikamfutoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Hana hammer,bali ana Benz,kwani ni lazima wote wamiliki hammer?wewe una hammer ??
MhhhhhhhhhhAna mambo na miradi mingi sana town;
1, Program ya maisha plus ilimpa hela nyingi
2, Katuni zake zinamuingizie hela kibao
3, Ni moja ya watangazaji ghali tz
4, Amewekeza kwenye kilimo pia
Sasa mwenzangu na mm utegemee kamshahara ka scale E au D utegemee kudrive Hammer?
Ila yeye anawashwa na kuchora.Mnawashwa washwa kwa maneno ya Mkulu
Huyo Mambosasa unayemuita angekuja kwanza kutolea maelezo juu ya 'umiliki' wa Mambosasa hotels ya Sinza na kwingineko. Je ni za kwake au tu majina yamefanana?Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Hahahahaha kupata vichekesho kama hivyo andik Mtulia kisha tuma 23344.... Yaani fedha za katuni au maisha plus zinunue hammer hahahaha...Ana mambo na miradi mingi sana town;
1, Program ya maisha plus ilimpa hela nyingi
2, Katuni zake zinamuingizie hela kibao
3, Ni moja ya watangazaji ghali tz
4, Amewekeza kwenye kilimo pia
Sasa mwenzangu na mm utegemee kamshahara ka scale E au D utegemee kudrive Hammer?
Swali Geniuswewe una hammer ??
Kaa kimya hujui kituMagari ya kuazima hayo Mkuu... Masoud ana Rav 4 Kili time....
Hawa wasanii wetu au macelebrity wetu siunajua wanavyopenda life ya show off...
Umedanganya...humjuiMagari ya kuazima hayo Mkuu... Masoud ana Rav 4 Kili time....
Hawa wasanii wetu au macelebrity wetu siunajua wanavyopenda life ya show off...