Habari yanu wakuu,
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom nikamfutoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.