Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.

weka basi picha ya gari la kifahari ili tujadili maana mimi naona ku kagari hivi na kabajaj na ka rav4. hilo la kifahari weka picha yake hapa
 
Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.

Sent from my Hol-U19 using JamiiForums mobile app
 
We mleta maada unaonekana huna akili pia unawivu wa kupitiliza, ndo nyie mnafanya njama za kuwaibia majiran zenu
 
Hv unaleta mada km hii bila kuwaza....kwan akiendesha au hata km ni mombasa ww inakuuma nini?mfate akupeleke....leta ishu za maaba sio kujadili wanaume wenzetu.
 
Roho ya kwa nini haitakufikisha popote, furaha yako wewe ni kumwona mtu akibakia masikini milele, mtu akiendesha gari tu akahojiwe na mambosasa, huyo mambosasa atafanya kazi ngapi. Watanzania tubadilike, swala la mtu kumiliki gari ni kitu cha kawaida.

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Yaani unamuliza mwanaume mwenzio usie mjua hela anatoa wapi? Kweli jamii forum now ni genge la wambea sio ile ya mwanzo ndio maana mnaleta Mada za kimbea humu acha hizo tafuta chako mjini hapa utashindwa ukifatilia vya watu.
 
Du yaani kama kuna watanzania wenye mawazo ya kidwanzi kama uyu jamaa apa ya kuyasafilia maisha watu basi tafadhari haraka sana nawaomba acheni angaika kivyako nawe uweze kununuwa unacho kiitaji ktk maisha yako kwani kumfuatilia mtu uwo ni udwanzi na ushamba
 
Tusimdharau aliye uliza? Si mnaona sasa mnafunguka na wengine tu napata kujifunza na kuwa inspired.
 
94f328f2359abf44c0953820c686896c.jpg
885b47240f173443f67086c62c526110.jpg
Kwa Gari kama hii ya Masound, Sidhani kama huwa anasimamishwa na Traffic. Traffic hawezi hisi kama unakosa.

Jamaa alichobugi ni hiyo rangi ya njano tu. Bora angeipiga nyeusi au Nyekundu. Hammer imekuwa kama School Bus!!
 
Unatia haibu sana haswa ktk hii mitandao ya kijamii sijajuwa we umetokea mkowa gani yani we ni mchawi straight badilika please angalia mambo
 
Nyie ndo wale mnaoamini watu wote ni sawa.
Pole sana kwa kuwa na mawazo ya hivo.
Kama unaishi naye,ulisoma naye, ukadhani mko sawa ndo utambue binadamu wote hawapo sawa.
Mtafute akupe lifti kidogo make inaonekana umeumia sana yeye kumiliki gari.
Watu wanatembelea helicopter wewe unashangaa gari gariii.
Kufuatilia maisha ya watu ni Zilipendwa Pambana Na Hali Yako.
 
Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Iv ulikaa ukaanza kumfuatia mtu mpka gari lake duh, ungekuw Na akili ungemfuata umwambie braza akufundishe namna ya kutafuta pesa , mosoud mwacheni tuu hata akiwa Na private jet ni haki Yake
 
Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
We ni mchawi tu hauna lolote na mshamba kupita maelezo kwanini usimfuate mwenyewe ukamuuliza?
Unatia haibu au na wewe michongo yako ya vyeti feki imebuma?
 
Back
Top Bottom