Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Wachawi ndio huwaga na mawazo ya hivi. Halafu kwa ndani ya koo wanasikia maumivu kuona wengine wa naendelea.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Huo ni wivu wa kijinga ndio maana wapo waliochukia kuwaona wachaga wakipanga foleni kwenda krismas kwao kwa wivu wakitamani kuwaona wakikosa uwezo hata wakwenda kwao

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
yaani january imekaba wauza miili wanahangaika kweli.
sasa unataka ujue ili umsumbue?kwa taarifa yako ana wake watatu na hatokaji nje ya ndoa zake.

Sent from my SM-J320G using JamiiForums mobile app
 
Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Miaka ya nyuma kulikuwa na kazi za kiume na za kike za kiume ni kubeba zege kuzibua vyoo etc na za kike ni kukaanga vitunguu na kupika huku kavaa kanga moja na kupiga story za watu ambazo wala haziwahusu na wala hazina faida yoyote sasa wewe mleta huu Uzi naona wewe unafanya hii ya kina mama sasa[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji114]

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
ZILE KATUNI ZINAMLIPA MAISHA PLUS INAMLIPA CLOUDS INAMLIPA MWENZIO KAJIONGEZA WEWE ENDELEA KUDANDIA BODABODA TU,MIA MIA
 
Kila mtu na maisha yake ndugu yangu we endelea na yako nae aendelee na yake
 
Sio kila tajiri anajiexpose na hapo ndo watu wanakosea!! Kuchora ni kipaji chake ambacho amekiruhusu mkione wale mliopo mbali na yeye!! Anyway Masoud is a humble guy ukiuliza mtandaoni kila MTU atasema anachokifikiria but ukweli anao mwenyewe!! Na wale waliopo karibu naye tafuta muda and seek an appointment with him!!!!
And he will still surprise you soon with big ideas that he's into!! ( He's A Risk Taker) Ndo maana !!!
 
Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Roho mbaya yako tu!
We komaa na wewe utafute vyako sio kufukunyua wenzako.

Shameless
 
Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
We utakuwa mchawi toka kolominje[emoji83]
 
f396f382faf774b9e995e97fddee8d40.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom