auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
weka basi picha ya gari la kifahari ili tujadili maana mimi naona ku kagari hivi na kabajaj na ka rav4. hilo la kifahari weka picha yake hapa