Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Hivi wale watu tulioaminishwa ni wauza unga enzi za jk bado WaPo?
 

Kwani Hammer bei gani?
 
Tumuulize aliyeleta unafiki humu watu wanamliki majumba mazuri na bado wanatumia vitz
 
Kunya anye kuku akinya bata

Pambana na hali yako wewe, unafiki umewajaa kisa anawachora, na mtachorwa sana msipojirekebisha, ati nikam zoom, [emoji1] [emoji1] [emoji1] ki-wonder kingine hicho kipe jina.

c.c: masudi jiandae wanakuja hao
 
Angemkuta kakamata Bomba kwenye Hitcher la Mbagala posta Nafsi yake ingesuuzika sana!

kuna Binadamu wana roho ya kijicho hataree
Mtu anaweza kumpiga mwenzie kipapai wallah..aaah jaamani !
 
Mkuu ngada hiyo, ataeleweka tu, aandae hesabu zake vizuri, mapato na matumizi, wahusika wamekusoma
 
Huu ni ujinga na chuki zisizo na maana, kwani hata akimiliki ndege au meli wew kinakuuma nin? Kwanin watanzania tunachuki hivi? Kwanin na wew usipambane ukapata Mali zako na magari yako ya kifahari?
Ndo ninyi mnataka wenzenu waishi kama mashetani badala ya nyie kupambana muishi kama malaika.
 
Viwander vya awamu hii ndo hivyo made in kolomije. Ushamba. Pumbavu mtoa mada. Fanya kazi, sio kutumwa tumwa tu nakutafuta vyeo.
 
Acha ukuda! Fanya kazi ufanikiwe na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…