Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Mitazamo ya kitoto Sana Hii, sio rahisi Kama unavichukulia[emoji4]
 
Kizuri kula na nduguyo
 
Kila la kheri kwake

Niliwahi kuwa na mpz dini ya masudi, akanitaka nibadiri dini Ili tuoane na yeye hayuko tayari kubadiri (nikasema sawa) kwa Sharti Moja ataniruhusu kuongeza mke daaah aligoma kabisa na uchumba ukafa(yaani nibadiri dini kisa mtu mmoja ) sina ujinga huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…