Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Big mistake. Kwa umri alionao kipanya 50 wallah bed perfomance ipo low sana. Na ukute huyo mke ni under 35 jasho litamtoka. Atoe huduma kwa nyumba nne! Wallah lazima apewe tough na masela.
Wanaume wengi wa 50+ wako vizur in bed kuliko vijana wa Sasa hawa Wala chips.

Ukiona mtu mpk kaongeza MKE wa nne, ujue kabisa anajiamini kunako 6×6

Hajaoa MKE wa nne ili waangalie wote tamthilia,
Kasogeza mzigo karibu na kuhalalisha ili auchakate ipasavyo bila bugza day&night.p
 
Big mistake. Kwa umri alionao kipanya 50 wallah bed perfomance ipo low sana. Na ukute huyo mke ni under 35 jasho litamtoka. Atoe huduma kwa nyumba nne! Wallah lazima apewe tough na masela.
Miaka 50 tu! kwa 35? wewe una tatizo la msingi haki ya nani!...tena hapo ndo mwake piga kitu mpaka nalia pooo!! mkewe mkubwa wa pili na tatu hao ndo wame choka mana watakuwa km 44 - 47 hivi!

hao walale huko wahesabu ada za watoto tu! hata wakichepuka sikiviiile! ziwa limeshakuwa ndala!! wanajisumbua tu!
 
Safi sana. Ataishi maisha marefu sana. Kuwa na Mke mmoja bila hata mchepuko ni kujitafutia stress tu na kukaribisha magonjwa yasiyoambukiza kama pressure, kisukari, moyo kuwa mkubwa n.k
Inategemea kama mke mwenyewe mmoja hata chakumpa huna kila siku viporo vinazaliwa, mke wangu vumilia nimechoka leo asubuhi tutamalizia, ikifika asubuhi mbio unawahi kazini![emoji3][emoji3][emoji3] hao wanne utawapa nini ndoa sio kama kuimba kwaya!
 
Sisi wenye fedha huwa tunaoa uzeeni😁😁😁
3wP.jpg
 
Ujinga tu hujaridhaka na watatu hata wanna hutaridhika, tamaa za binadam ni unlimited data ni kujidhibiti
Hakuna mwanaume aliwahi ridhika na uke mmoja,

Hata wee pia ulieoa MKE mmoja, kama kweli umekamilika kimaumbile na kihisia.

Uko nje bila shaka unao wawili Hadi watatu unachepuka nao kisirisiri.

Vinginevyo utwambie maumbile yako yana mapungufu kibaiolojia[emoji4]
 
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.

Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita. Alizaliwa tareha 23 Juni 1972 jijini Dar es salaam.

Kipanya alianza kuchora katuni akiwa darasa la pili, na alianza kwa kuiga tu katuni za ndani na za nje kama ilivyo kawaida kwa yoyote anayeanza kufanya kitu, ila ‘professionally’ alianza rasmi mwaka 1988, huo ndio mwaka ambao katuni yake ya kwanza ilitoka katika gazeti la Heko.

Hatimaye kapata mke wa nne

View attachment 2091463

View attachment 2091464

View attachment 2091465

View attachment 2091466
Kuna ubaya gani Mange alivyo livalia njuga na app sometimes muheshimu privacy za watu.
 
Back
Top Bottom