π π Ukila chakula duni hata huyo mmoja utaona umepewa mzigoJumatatu. jumanna. Jumatano. Alhamis. Ijumaa.....ratiba nzuri kabisa hii. Sasa Kuna mtu ana mke mmoja tu lakini kutwa nzima kulalamika hapa JF.
Wwe Skylar unaonekana ni mbinafsi sana,unataka Mume wa pekee yako! Labda umtengeneze mwenyewe na remort yake uwe nayo wwe full-time!!Wanawake wana kazi sana, huyo dada anatabasamu pamoja na kuolewa mke wa nne, kweli tumetofautiana
Anyways, hongera sana kwake kwa kupata ndoa na kua mke namba nne, tunamtakia kila la heri
Anatumia fursa vizuri. Haya ndio mambo wanaume wanapaswa kufanya ukiwa na hela sio kulingishiana mijengo na magarii
Ewaaa kwa ajili ya wanawake walioolewa mitalaNaona unataka kufungua madarsa ya dua
Anaruhusiwa kuongeza wa Tano?Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.
Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita. Alizaliwa tareha 23 Juni 1972 jijini Dar es salaam.
Kipanya alianza kuchora katuni akiwa darasa la pili, na alianza kwa kuiga tu katuni za ndani na za nje kama ilivyo kawaida kwa yoyote anayeanza kufanya kitu, ila βprofessionallyβ alianza rasmi mwaka 1988, huo ndio mwaka ambao katuni yake ya kwanza ilitoka katika gazeti la Heko.
Hatimaye kapata mke wa nne
View attachment 2091463
View attachment 2091464
View attachment 2091465
View attachment 2091466
Wewe mbona mkali.Wwe Skylar unaonekana ni mbinafsi sana,unataka Mume wa pekee yako! Labda umtengeneze mwenyewe na remort yake uwe nayo wwe full-time!!
Mimi nimeshapata waDada watatu wanajitolea kuwa na mimi wote tena warembo haswaa. Nikasema tujaribu, ila haikwenda poa. Nikabreak things up. Hawakuwa na faida sana.. Na sasa wote wanataka na mimi mchana na shughuli nyingi za biashara nk. Usiku nalala na mmoja. Mara moja moja mwingine anapata dozi mara moja mchana. Na walikuwa wanafanya kazi za usafi tu na kupika. Sio za maendeleo. Unawachoka mapema sana. Nikiwa teari nitafanya tena ila hao nitawafundisha kazi za maendeleo/ kuzalisha $$. Naamini itakuwa sawa. Mwanzo wa hawa ilikuwa sio mzuri sana. Ngojea tuendelee kuringishia V8's na mijengo tu kwa sasa.Anatumia fursa vizuri. Haya ndio mambo wanaume wanapaswa kufanya ukiwa na hela sio kulingishiana mijengo na magarii
Una namba yenye mpesa? Nina laki yako hapa
Wee unalalaje na mmoja bwana....unapaswa kulala na angalau wawiwi kama sio wote....yaani unatakiwa ukiingia chumbani kwako ni unaogelea ina sea of boobs pu.ssy and booty.Mimi nimeshapata waDada watatu wanajitolea kuwa na mimi wote tena warembo haswaa. Nikasema tujaribu, ila haikwenda poa. Nikabreak things up. Hawakuwa na faida sana.. Na sasa wote wanataka na mimi mchana na shughuli nyingi za biashara nk. Usiku nalala na mmoja. Mara moja moja mwingine anapata dozi mmoja. Na walikuwa wanafanya kazi za usafi tu na kupika. Sio za maendeleo. Unawachoka mapema sana. Ngojea tuendelee kuringishia V8 na mijengo tu kwa sasa.
Hata akiwa mkoja bado wahuni wanapita nae tu.
kikubwa ni msimamo wa mtu.
Wee unalalaje na mmoja bwana....unapaswa kulala na angalau wawiwi kama sio wote....yaani unatakiwa ukiingia chumbani kwako ni unaogelea ina sea of boobs pu.ssy and booty.
Ah hao wapuuzi yaani umefanya la maana kuwabwaga. Raha ya kuwa na wake wengi ni kwamba kulia kushoto umezungukwa na mbususu na matiti moto motoWalikuwa wanasema eti wanaoneana aibu kufanya pamoja. Yap.. hio nayo haikusaidia.
Ni changamoto. Ila kama ukiwawezesha kwa miradi ambayo wanakuwa busy sana, na wajue kwamba uaminifu ni muhimu... kwa kuwapata ambao ni waaminifu.. naamini inawezekana.Wanawake wanne msimamo utoke wapi kaka? Amini nakwambia, wahuni lazima wapite nao. Hawawezi kukaa kukusubiri wewe tu na ubwege wako
DuhWewe mbona mkali.
Mwanamke ana haki ya kuchagua. Unaweza ku share mume au la.
Msitulazimishe tukubali sote tumeumbwa tofauti.
Sasa ukute muoaji mwenyewe tia maji tia maji kamoja tu chaliii afu ka kutafuta kweli japo kamoja kwa wiki.
Afu anaenda kuoa.