Mara nyingi kauli hizi zinatoka kwa watu ambao:Wanawake wanne msimamo utoke wapi kaka? Amini nakwambia, wahuni lazima wapite nao. Hawawezi kukaa kukusubiri wewe tu na ubwege wako
Wewe unaweza uwa mme wa pili au wa nne? Tuanzie hapo, mapenzi ni ubiafsi ndio maana mtu anapokua msalit analeta mdhara kwenye mahusiano hata mauajiWwe Skylar unaonekana ni mbinafsi sana,unataka Mume wa pekee yako! Labda umtengeneze mwenyewe na remort yake uwe nayo wwe full-time!!
Sikatai hiyo fact lakini lazima pia tukubali fact kwamba hakuna mtu mwenye moyo wa chuma ati unakua mme wa pili au mke wa nne..hakuna dunian, tunalazimisha tu wa sababu ya imani na miikoFact ni kwamba ili wanawake wote duniani wapate waume ni lazima angalau kila mwanaume aowe wastani wa wake si chini ya watano.
Kwanza unafahamu fact hizi? acha ubinafsi.
Uko sahihi mkuuSafi sana. Ataishi maisha marefu sana. Kuwa na Mke mmoja bila hata mchepuko ni kujitafutia stress tu na kukaribisha magonjwa yasiyoambukiza kama pressure, kisukari, moyo kuwa mkubwa n.k
Mzee wangu nimefarijka kukuona,kwakweli awatake radhi huyo kijanaTutake radhi mkuu.
Above 50 ndio mpango.
Ukifika utaelewa!
Umewapa vijana title ya bure kabisa kufanyia research kazi kwaoKasema hivii hutosheki na mmoja,una uhakika ukipewa 10 utatosheka?.. ndoa sio sex peke yake, ndoa ipo kuanzisha familia, kuanzisha familia na wake wanne utapata wapi nafasi ya kulea wanao vyema? ,,,ningekua nina akili za kusoma ningependa kujua watoto wa ndoa za mitala malezi yao yanakuwaje? Je hawaathiriki kisaikolojia na huu mfumo?
Mara nyingi kauli hizi zinatoka kwa watu ambao:
1: uwezo haumruhusu kuwa na wake wengi
2: Imani yake ya dini hairuhusu hivyo
3: wivu usiona na maana
Wapo wanawake waliokwenye ndoa na mume mmoja na bado wanazini
Mwanamke kuzini wakati yupo kwenye ndoa ni suala la tabia na sio kuolewa mitala
We umejuaje ni kazi ngumu kwake?yeye yote hayo anajua ndio kafanya maamuziLabda kama kaoa kutimiza matakwa ya dini yake ya uislam. Nakwambia kutoa huduma za kitandani ni kazi ngumu kwake. Atasaidiwa tu. Sema na hawa dada zetu nao hamnazo. Unaendaje kuolewa na mzee kama yule? Kwa hali ya kawaida watoto watakaozaliwa watakuwa yatima muda si mrefu. Masudi afurukute miaka 20 mbele tena na hio mzigo aliojibebesha!? Anawakati mgumu sana.
Ni changamoto. Ila kama ukiwawezesha kwa miradi ambayo wanakuwa busy sana, na wajue kwamba uaminifu ni muhimu... kwa kuwapata ambao ni waaminifu.. naamini inawezekana.
Ni hela ndio zinaselect mkuu, Kipanya ana deal za kutosha kuwaimpress hao totoz.Jamaa anaselect totoz nzuri nzuri...
Kwani divorce zote ni kwa sababu ya watu kutofanya penzi? Divorce asilimia kubwa ni mambo ya uchumi na pia mapenzi kupungua sababu ya watoto. Pia kwani kwenye ndoa watu wanafanya mara ngapi mkuu? Hii research ilionyesha asilimia ndogo sana ndio wanafanya zaidi ya mara moja kwa wiki. Asilimia 5 tu. Hio asilimia 95, wana ndoa wanafanya mapenzi mara moja kwa wiki au chini ya hapo. Kwa hio suala la mwanamke kulala na wengine NI TABIA TU YAKE. NA SIO WOTE WAKO HIVYO. WAAMINIFU WAPO.. NA UKITAKA NDOA NZURI YA POLYGAMY, LAZIMA UWAJARIBU SANA UAMINIFU WAO KABLA YA KUWAOAUwezo wa kiuchumi sio sababu, ingekuwa hela ndio kila kitu kwa matajiri kusingekuwa na divorce. Mwanamke mmoja tu huwezi kumpa attention ile anayotaka sasa utaweza wapi wanne? Ili jambo watu wanalichukulia kijuu juu tu
Pia kumbuka divorce ni za wote, matajiri na maskini. Lakini ukiwa na hela nzuri, na ukachagua vizuri, una nafasi nzuri. Na ukiwa na $$$, unakuta wanawake wengi wanakutaka kila siku.. na inaleta kuwatamani. Sasa kuliko hio tamaa, bora tu unakuwa nao wote wanajuana na mnafanya kazi za maendeleo pamoja, naona inaweza kufanikiwa vizuri sana.Uwezo wa kiuchumi sio sababu, ingekuwa hela ndio kila kitu kwa matajiri kusingekuwa na divorce. Mwanamke mmoja tu huwezi kumpa attention ile anayotaka sasa utaweza wapi wanne? Ili jambo watu wanalichukulia kijuu juu tu
Unakuwa tu na bonge la compound. Watoto wanacheza pamoja, wanajifunza pamoja, wanafurahi pamoja. Na nyumba zinakuwa za kutosha, za kisasa, magari ya kufanyia kazi, kupeleka watoto shule pia yawepo ya kutosha na ya uhakika, na wives pia wawe wanafanya kazi kwa biashara, na watoto wanajifunza kazi pamoja, biashara pamoja, wanapata burudani kama movies pamoja, mnasali pamoja, nk. Naona imekaa vizuri sana.. cha muhimu unakuwa tu mkuu wa Boma mwenye hekima ya uongozi na heshima iwepo pote manake kila mtu amheshimu mwingine pamoja na wives na watoto waheshimiane na wapendane.Kasema hivii hutosheki na mmoja,una uhakika ukipewa 10 utatosheka?.. ndoa sio sex peke yake, ndoa ipo kuanzisha familia, kuanzisha familia na wake wanne utapata wapi nafasi ya kulea wanao vyema? ,,,ningekua nina akili za kusoma ningependa kujua watoto wa ndoa za mitala malezi yao yanakuwaje? Je hawaathiriki kisaikolojia na huu mfumo?
Kwa Tanzania, uchumi ni sababu kubwa. WaDada unakuta mume hamhudumii mahitaji yake ya kiuchumi, na anapata jamaa anamuahidi mambo kibao... lazima wachepukeUwezo wa kiuchumi sio sababu, ingekuwa hela ndio kila kitu kwa matajiri kusingekuwa na divorce. Mwanamke mmoja tu huwezi kumpa attention ile anayotaka sasa utaweza wapi wanne? Ili jambo watu wanalichukulia kijuu juu tu
Huu mzigo wa dhambi kubwa hivi nani atamtua?Wee unalalaje na mmoja bwana....unapaswa kulala na angalau wawiwi kama sio wote....yaani unatakiwa ukiingia chumbani kwako ni unaogelea ina sea of boobs pu.ssy and booty.