Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]daahh!!mmechekaaa
 
Kwa Kwa Umri huo, Anawaolea Mabaharia...! Matumizi Kwake.....Kuridhishwa kwa Mabaharia..!
Ukweli mchungu inabidi aumeze tu..
 
Safi sana. Ataishi maisha marefu sana. Kuwa na Mke mmoja bila hata mchepuko ni kujitafutia stress tu na kukaribisha magonjwa yasiyoambukiza kama pressure, kisukari, moyo kuwa mkubwa n.k
ISHI MILELE MKUU,
KUTETEA UHAI WA MWANAUME NI UZALENDO MBELE ZA MUNGU
 
Safi sana. Ataishi maisha marefu sana. Kuwa na Mke mmoja bila hata mchepuko ni kujitafutia stress tu na kukaribisha magonjwa yasiyoambukiza kama pressure, kisukari, moyo kuwa mkubwa n.k
Hii ni kweli kabisa
 
Mambo ya Waislam hayo na hiyo ni sunna ya Mtume (s.a.w) pia ni mafundisho ya Allah katika surat nisaa ndani ya kitabu cha Quran aya nimeisahau.

Wenzetu Waislam wanaanza kwakuambiwa waoe wanawake wanne au watatu au wawili na ukishindwa kuwafanyia hisani ndio uoe mwanamke mmoja.

Haki ya Mungu siku kanisa wakiruhusu ndoa za mitala nitaioa micheko yangu yote
 
Big mistake. Kwa umri alionao kipanya 50 wallah bed perfomance ipo low sana. Na ukute huyo mke ni under 35 jasho litamtoka. Atoe huduma kwa nyumba nne! Wallah lazima apewe tough na masela.
Umri ukifikia 40+ hamu ya mapenzi inaongezeka Mara dufu, labda km kunA tatizo mahali
 
Wana athirika saba tu,ni vile hawana platform za kusemea
 
Mungu alimpatia Adamu msaidizi na si wasaidizi huku ni kuzini kwa kuitumia kichaka Cha dini.
 
Ina maana kipanya mwaka huu anatimiza miaka 50[emoji15] aiseee hafananii na umri huo
Anakunywa maji mengi ana Fanya mazoez hanywi vinywaji vikali ana Kula vizuri
 
Kwa uzoefu wangu ukiwa na mke ukisha muacha Kwa kumpa talaka bas Una muacha yeye na watoto ana shugulika nao yeye mwanamke Kwa kuwalea
 
Hapo ndipo huwa nadharau uislamu! Yaani ukiona tamaa tu unaongeza kuoa au unatoa talaka uoe tena. Maisha yanaisha tamaa haziishi. Yaani dini na uchafu uchafu tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…