Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 Masoud yupo intelligent sanaYaani hapo huyo kipara ni january makamba, mtu mzima yule pale nyuma anashangaa ambavyo mama kwanza kambeba halafu anaendelea kumpa maziwa anyonye huku akiwa mgongoni ndio yule mwenye akili timamu anashangaa sana mtu mzima kudekezwa kiasi hicho
Kivyovyote vile for consistency Makamba hatoki halafu niwambie Makamba ni deep state na mtoto wa familia kabisa. Kizazi cha sasa hawajui kundi la Wanamtandao ndani ya CCM, Makamba hatoki na hakuna wa kumtoa, akihama basi ataenda mambo ya nje, tamisemi, wizara ya madini, wizara nyeti, mpaka sasa haiwezekani Makamba kuhama hio wizara.Salamu zangu kwenu wakuu
Tuendelee kuchanganua kama picha inavoeleza hapa chini
Nothing is permanentKivyovyote vile for consistency Makamba hatoki halafu niwambie Makamba ni deep state na mtoto wa familia kabisa. Kizazi cha sasa hawajui kundi la Wanamtandao ndani ya CCM, Makamba hatoki na hakuna wa kumtoa, akihama basi ataenda mambo ya nje, tamisemi, wizara ya madini, wizara nyeti, mpaka sasa haiwezekani Makamba kuhama hio wizara.
Ningekuwa mie ndio mwezi wa kwanza ningemshaki kipanya 😂😂😂Salamu zangu kwenu wakuu
Tuendelee kuchanganua kama picha inavoeleza hapa chini
Haya ya kubebana yana mwisho wakeNaona Kuna watu wanatakiwa kutumbuliwa ila wanabebwa
Mbona zipo nyingi na zingine zipo mpaka Japan na Toyota wameiga hahaHivi ile kampuni ya magari ya umeme aliyoianzisha inaendeleaje?
Bado sijakutana na gari zake barabarani.
Gari za masudi kama masudi sio hz kampuni za nje.Mbona zipo nyingi na zingine zipo mpaka Japan na Toyota wameiga haha
Mama juzi alisema imeisha, kuna mikopo minne iligoma na mingine ilimachua. Labda kama watakuwa wameshakubali masharti.Nakataa,
Asali haiwezi kuisha mapema hivi, watu watalamba Sana tu.
Nyakati za majoka na break dance raha tu na majibu rahisi tu.Nothing is permanent
Atakuwa alichezea hela ya familia bureHivi ile kampuni ya magari ya umeme aliyoianzisha inaendeleaje?
Bado sijakutana na gari zake barabarani.