Masoud Kipanya: Mbwa waliokonda wanambwekea nani?

Masoud Kipanya: Mbwa waliokonda wanambwekea nani?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Msululu mrefu unambwekea. Tena ni Mbwa Koko, vimekonda. Vinambwekea nani?

IMG-20260803-WA0037.jpg
 
Tone tone zote kabugia heche wengine anawaona mbwa hawastahili hata kula mifupa ya tone tone!!
 
hao wanaobweka ni MAPANDIKIZI mamluki waliopandikizwa CHADEMA kwa ajili ya kukivuruga chama,kukibomoa chama,na kukisambaratisha wakianza na KUMKABA MWENYE MPIRA ...heche ndio yuko na mpira na ndiye anayekabwa..

na propoganda za kula hela tobe tone..na hoja mbali mbali na tuhuma mbali mbali LENGO ni kuipasua chadema,na kuivuruga.
 
tonetone sio mali ya Heche. Mbwa hao wanatokea huko wanakotoka ila hawana cha kubweka, wanamzalilisha awatumao huko
Hao rangi za kaki ni kutoka humo humo ndani ya chama, ndomana wanatia huruma make heche ana roho mbaya anakula minofu na mifupa ya tonetone bila kuwageia wenzake!!
 
Huyo Mbwa wa pili kutoka mbele ni kama kuna maneno fulani ameyasema,halafu huyo jamaa mwenye Cap anamshangaa huyo Mbwa kwa maneno aliyoyasema.
 
Hao rangi za kaki ni kutoka humo humo ndani ya chama, ndomana wanatia huruma make heche ana roho mbaya anakula minofu na mifupa ya tonetone bila kuwageia wenzake!!
umeiona hiyo minofu? au
kuna pesa hapo umemwona nazo?
mie naona mkono mtupu
 
tonetone sio mali ya Heche. Mbwa hao wanatokea huko wanakotoka ila hawana cha kubweka, wanamzalilisha awatumao huko
Mbwa za kaki ni wafia chama wanasikiliza kwa makini je heche atazungumza lolote kuhusu mnuso wa tone tone na sie tutapata kweli? Halafu mbwa za kijivu ni chawa na vimada wa heche wanaona anachelewa kumaliza kubwabwaja ili wawahi Viwanja kutumbua fedha za tone tone!!
 
Back
Top Bottom