Masoud Kipanya: Mbwa waliokonda wanambwekea nani?

Masoud Kipanya: Mbwa waliokonda wanambwekea nani?

Endelea kunichokonoa muda si mrefu naweka hadi loji anayokuingizaga Bwana ako!!
Hizo ndo akili za majitu yanayopenda wizi na wala rushwa.
Ndugu ukishakuwa mpenda rushwa na wizi jua huna akili kama ya mwanadamu wa kawaida aliyeumbwa na Mungu. Mungu amelaani wala rushwa.
Ndo maana ukisoma comments za watu walioupande wa majizi na wala rushwa unaona kabisa kuna kitu kina miss katika brain zao
 

Attachments

  • 1000006486.png
    1000006486.png
    1.6 MB · Views: 7
Back
Top Bottom