Masoud Kipanya na Fina Mango warejea Clouds FM na kuongoza Power Breakfast

Njaaa kweli, ili iwaje?nini anataka kutuaminisha watanzania? Mnakumbuka sababu za hawa jamaa kusitishwa?Anaejiita boss wao alisemaje? Na leo anasemaje nini? Usipokuwa makini dunia hii utafanywa kiraka kila siku..! Sasa taswira gani anatuonesha?Nini anataka kutuamisnisha, anainua vipaji ?
 
Hii siku ya leo vema kuwa makini sana na habari zozote mpya
 
Sio ya wajinga, wasikilize live now

Kama kweli wamefanya hivyo kama siku ya wajinga, wataudhi sana wasikilizaji wao...mimi nawaangalia hapa wako live, hivi huyu masudi kipanya ndiyo huyu kijana wa kiume mnene?
 
wako live kweli ila hatujui hao wengine wameondoka au wamepewa majukumu mengine. mpaka baadae...
 
Kama kweli wamefanya hivyo kama siku ya wajinga, wataudhi sana wasikilizaji wao...mimi nawaangalia hapa wako live, hivi huyu masudi kipanya ndiyo huyu kijana wa kiume mnene?
Ni mwenye kanzu
 
Kama wamerudi tena nitawashangaa,hawawezi kusonga mbele?

Mmiliki wa efm alikuwa DJ wa radio Leo anamiliki radio.
 
Kama kweli wamefanya hivyo kama siku ya wajinga, wataudhi sana wasikilizaji wao...mimi nawaangalia hapa wako live, hivi huyu masudi kipanya ndiyo huyu kijana wa kiume mnene?
Mnene ni fred waa, masudi mwenye kanzu, fina mango mwenye nywele za brown na babra hassan ndie huyo aliebaki
 
Wako on air PB ambayo imeunganishwa clouds tv sasa hivi kwenye kipindi cha Clouds 360
 
Njaa haina huruma... wamerudi wenyewe!!

Watakula wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…